alongakeke
Member
- Feb 3, 2017
- 98
- 30
Habar za muda huu wajomba na mashangazi, kwa wale mliosoma Open University bachelor of science in ICT, kuna course ya mwaka wa pili imeandikwa kwenye website ya OUT kwa jina hili " environmental computer mathematics " nauliza wakuu ni makosa yalifanyika au ? sijawai kuskia kozi ya hesabu katika degree ya computer science au software engineering au computer engineering yenye title ya namna hii ,hilo neno environmental ndo linanitatanisha sana!