entrepreneur wanahitajika

neinei

New Member
Aug 9, 2012
2
0
Wakuu habari ya leo!
N’s Group ni group inayohisika na ujazsiria mali pamoja na kutoa ushauri kwa wajasiria mali wadogo wadogo, na kuwasaidia kujikwamua katika hali ngumu ya maisha kwa kuwapa business ideas pamoja na channel za biashara zilizokwisha anzishwa Hivyo basi inatafuta entrepreneurs popote nchini.
Sifa za entrepreneur ni awe mfanya biashara mwenye malengo makubwa yanayoweza kufikika
Awe na plan nzuri ya biashara na kujiendeleza
Awe committed na anachotakiwa kufanya
Awe ni mtu wa kujituma na kujipangia kazi
Awe ni mtu wa kuzingatia muda
Kwa mawasiliano wasiliana nasi kwa email rjoseph433@gmail.com
 
kwa mtu mwenye mpango wa kufanya au kuanzisha biashara lakini hana mtaji mnamsaidiaje anaweza kuja kuwaona?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom