Enterogermina In Tanzania.

myplusbee

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
3,612
6,154
Wadau Salam!!

Hususani kwa watu wenye pharmacies na wengine wote wenye ufahamu! Ningependa kufahamu machache kuhusu dawa inayoitwa Enterogermina. Ambacho ningependa kufahamu ni pamoja na:-
1. Je, hii dawa inaruhusiwa kwenye soko la Tanzania?
2. Kama jibu ni NDIYO, soko lake lipo vipi kwa wanunuzi wa jumla (yaani wenye maduka ya dawa)
3. Kwa Tanzania imesajiriwa kama Supplements au Drugs?
4. Mgonjwa analazimika kupata doctor's prescription ili aweze kununua, au halazimiki?!

Natanguliza shukrani zangu kwenu!
 
Back
Top Bottom