Exactly, kama ni kweli wamajitahidi sana! Lkn hapakuwa na msongamano wa magari by then.. ukiwa unatoka airport to Kampala/kwenda UVRINilipita hiyo barabara 2001 ilikuwa kawaida sana.
show offmatumizi mabaya ya ardhi mibarabara ya porini ya nini 😎
Nakojolea mchele mchele kama wewe. Njoo nikupe haki yakokakojoe ulale
Acha uongo, haikuwepo hiyo barabara huo mwaka!Nilipita hiyo barabara 2001 ilikuwa kawaida sana.
Msongamano mkubwa ulikuwepo ukifika Kampala, lakini umuhimu wa hiyo barabara ni kuunganisha mji wenye Int. Airport, Ikulu, UN, etc na jiji la Kampala. Ikulu na airport ndio inaonyesha umuhimu wa express way kuwepo hapo.Exactly, kama ni kweli wamajitahidi sana! Lkn hapakuwa na msongamano wa magari by then.. ukiwa unatoka airport to Kampala/kwenda UVRI
Tanzania tuna dual carriageway yenye flyovers, bypass, bridges, etc. inayounganisha majiji mawili? Labda unaongelea SGR inayokuja kuunganisha Dar na Moro! Hiyo barabara yao ni double road kutoka Kampala mpaka Entebbe.mbona ni ya kawaida sana, tanzania tunazo nyingi tu
Kabla ya kuwaita watu waongo kwa ungumbaru wako, jua kusoma kwa ufahamu kwanza.Acha uongo, haikuwepo hiyo barabara huo mwaka!
Duhh... Nimeona Aibu aisee...Hii ingekuwa Bongo sijui kama wangelilala
Msongamano mkubwa ulikuwepo ukifika Kampala,
Kabla ya kuwaita watu waongo kwa ungumbaru wako, jua kusoma kwa ufahamu kwanza.
Nilipita barabara ya Entebbe Kampala mwaka 2001, barabara ya Entebbe Kampala ilikuwepo mwaka 2001. Unabisha hilo?
Mwaka 2001, haikuwa hivyo inavyoonekana kwenye hizi picha, ilikuwa ya kawaida sana, two lane road isiyo na mizunguko hiyo inayoonekanankwenye picha.
Ushaelewa?
Nimekuelewa kiasi, lakini hiyo barabara unayoiona ni mpya kabisa iko pembeni ya hiyo unayoisema, na sio pemebeni sana hadi uiite ni barabara moja. So ni barabara mpya kabisa ambayo haikuwepo hapo kabla. Unayoisema na yenyewe ipo bado pia.Kabla ya kuwaita watu waongo kwa ungumbaru wako, jua kusoma kwa ufahamu kwanza.
Nilipita barabara ya Entebbe Kampala mwaka 2001, barabara ya Entebbe Kampala ilikuwepo mwaka 2001. Unabisha hilo?
Mwaka 2001, haikuwa hivyo inavyoonekana kwenye hizi picha, ilikuwa ya kawaida sana, two lane road isiyo na mizunguko hiyo inayoonekanankwenye picha.
Ushaelewa?
Mueleweshe huyo Kiranga, aache na kutukana members hapaKuna kitu watu mnabishana bila kujua hii barabara ni mpya imejengwa sehemu nyingine kabisa na plan ni kuwa Toll Road ya zamani inayoenda Entebe bado ipo kama kawaida na haitalipiwa unapita bure ila hautaweza kuwahi kama unadharula
Sawa sawa na kusema bara bara inayounganisha Dar na Moro iendelee kuwepo kama kawaida halafu tuamue kujenga express road (ambayo unakuwa unalipia kupita kama ilivyo kupita Daraja la kigamboni)kama hiyo ya kampala to entebe tofauti ni kwamba moja ni ya kulipia nyingine si ya kulipia ingawaje, Kwa sasa sijui kama wameanza kulipia kupita hiyo njia wanayosema mpya.
Kwani mimi nilisema nilipita hiyo barabara mpya?Nimekuelewa kiasi, lakini hiyo barabara unayoiona ni mpya kabisa iko pembeni ya hiyo unayoisema, na sio pemebeni sana hadi uiite ni barabara moja. So ni barabara mpya kabisa ambayo haikuwepo hapo kabla. Unayoisema na yenyewe ipo bado pia.
Mimi niliongelea barabara niliyopita mwaka 2001, nikaambiwa muongo.Kuna kitu watu mnabishana bila kujua hii barabara ni mpya imejengwa sehemu nyingine kabisa na plan ni kuwa Toll Road ya zamani inayoenda Entebe bado ipo kama kawaida na haitalipiwa unapita bure ila hautaweza kuwahi kama unadharula
Sawa sawa na kusema bara bara inayounganisha Dar na Moro iendelee kuwepo kama kawaida halafu tuamue kujenga express road (ambayo unakuwa unalipia kupita kama ilivyo kupita Daraja la kigamboni)kama hiyo ya kampala to entebe tofauti ni kwamba moja ni ya kulipia nyingine si ya kulipia ingawaje, Kwa sasa sijui kama wameanza kulipia kupita hiyo njia wanayosema mpya.
Hakuna siku niliyompa member maneno yake (si kumtukana, naita kumpa maneno yake) kwa jambo ambalo hajalianzisha yeye mwenyewe kwa shari.Mueleweshe huyo Kiranga, aache na kutukana members hapa
kampala paka Entebbe amna umbalio huo ndugu, lisaa limoja na nusu paka mawili unafika, ni wilaya mbili zilizo karibuTanzania tuna dual carriageway yenye flyovers, bypass, bridges, etc. inayounganisha majiji mawili? Labda unaongelea SGR inayokuja kuunganisha Dar na Moro! Hiyo barabara yao ni double road kutoka Kampala mpaka Entebbe.