Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,395
- 6,553
Sawa ipo very clear nakubali.Unataka mjadala au unataka kuokoka ndgu,biblia iko very clear isome utaelewa tu
Hiyo ni kwikwi dada anaitwa Ciara...***** ni nomaaa sauti zilikaaa kweli dahπ₯Nitaitafta.. Kuna ile pia aliimba na mdada flani hivi.. Kama sijakosea ni Am taking back my love.. Alooh
Nipo nyuma yako kaka..Nimekuuliza swali biblia inasemaje kuhusu mtu kuokoka?
kama haijazungumzia.. unafuata maagizo ya mchungaji wako au biblia?
Na kina Gente De ZonaEnrique ~ Bailando naweza sikiliza siku nzima!
Sean Paul aliumizaaa saaaanNa kina Gente De Zona
Sasa huyo Sia anamfikia DUA LIPA?Kwa Kina Mama hata Beyonce,rihanna,taylor swift kwa Sia hawagusi..
Sikiliza Greatest,Chandelier,Unstopable,Helium,Elastic Heart hizi baadhi tu
Hahaha Dua Lipa? huyo Mwingereza sio wakumfananisha na Sia.Sasa huyo Sia anamfikia DUA LIPA?
Sijajua Sia mmependea kigezo kipiHahaha Dua Lipa? huyo Mwingereza sio wakumfananisha na Sia.
Unamkosea Heshima Julio, Enrique mpaka leo Hajafika hata nusu ya Kipaji cha baba yake. Anaishi kwenye kivuli cha legend. Mpe Enrique mic aimbe live bila Auto tune unaweza kimbia.Baba yake aliwahi kuwa nyanda pale Real Madrid kitambo kidogo
Ninafs naikubali sanaEnrique ~ Bailando naweza sikiliza siku nzima!
Bro umfuatilie Sia. hakuna Mwanamuziki wa kike anaeweza kufikia note za Sia,Kuna hits za kina Beyonce zimeandikwa na Sia.Sijajua Sia mmependea kigezo kipi
Enrique Iglesias hamkuti dingi yake? Stop joking BroUnamkosea Heshima Julio, Enrique mpaka leo Hajafika hata nusu ya Kipaji cha baba yake. Anaishi kwenye kivuli cha legend. Mpe Enrique mic aimbe live bila Auto tune unaweza kimbia.
Unaongelea UANDISHI au Unaongelea Uimbaji..?Bro umfuatilie Sia. hakuna Mwanamuziki wa kike anaeweza kufikia note za Sia,Kuna hits za kina Beyonce zimeandikwa na Sia.
Ile Diamond ya Rihanma yenye views zaidi ya Bilion 1 iliandikwa na Sia tena ndani ya dakika 3 tu.
Hivi Battle ya Hit Sia na Dua Lipa,Dua Lipa anakula K.O chap tu
Nashukuru umetumia neno yangu......Bro Sia na Dua Lipa kwamba Dua Lipa anaimba zaidi? ππππππUnaongelea UANDISHI au Unaongelea Uimbaji..?
Katika Uandishi sina details nyingi za kuweka mjadala.. ila ktk Kuimba SIA hayupo ktk Top 5 yangu.
Nafkiri humtambui Dua Lipa vizuri..Nashukuru umetumia neno yangu......Bro Sia na Dua Lipa kwamba Dua Lipa anaimba zaidi? ππππππ
Ila umekuja Kwenye post kukomentKabla ya kumpokea Yesu maishani mwangu nilikuwa shabiki wa huyu jamaa,miaka takribani 7 iliyopita hivi sina time na mziki wa kidunia
Sia jembe mkuu, Sia na Bruno mars pengine ndio best katika kizazi chetu hiki.Unaongelea UANDISHI au Unaongelea Uimbaji..?
Katika Uandishi sina details nyingi za kuweka mjadala.. ila ktk Kuimba SIA hayupo ktk Top 5 yangu.
Bwana asifiwe mpendwa....Kabla ya kumpokea Yesu maishani mwangu nilikuwa shabiki wa huyu jamaa,miaka takribani 7 iliyopita hivi sina time na mziki wa kidunia