Enough is enough maskini moyo wangu

Inaonekana wewe huna ndoto. Ukiachana na Mapenzi kuna nn kingine ungependa kupata?

Hebu ji keep busy. Wanaume tuko wengi sana. Acha kujitesa kwa kuamini ulimpenda sana.

Give him a chance to learn from his own mistakes. Just like the way you do.

Hebu Jiamini. Badala ya kulalamika act like nothing happened. Hujawahi kufiwa wewe eenh?

Jisomee vitabu, Fanya Mazoezi. Jichanganye na watu wa rika lako. Nenda Club, Swimming, kwenye semina nk.

There is more than what you complain about in Life. Hebu mshinde shetani.
 
Kwa amani ya Moyo tafuta closure before u-block channel zote za mawasiliano between you two.

Tafuta pozi muongee (Not necessarily ubadili maamuzi). Baada ya mazungumzo ata akisepa utakuwa na amani.

Maumivu yakija yapokee ulie kabisa ikibidi. Siku yakiisha yameisha mazima hata mkikutana wala hautashtuka.
 
Kuteleza sio kuanguka jikaze usije teleza, maumivu uliyonayo ni sawa na kujikwaa na jiwe. Weka dawa kwenye kidonda kipate kupowa kuna siku maumivu yataondoka na utapata wa kukufurahisha maishani mwako.



Ndukiiiii
 
Pole sana,


Kibinadamu, sio rahisi kusahau na kuachilia, sababu kwenye ulimwengu wa roho, tayari kuna kua na muunganiko.

Yale maneno mlipkua mkiambiana ni yalikua yanawaonganisha na kwa namna fulani, ni maagano.

Inabidi udhamirie umuombe Mungu, Umuombe akusamehe, na akujalie Neema na Nguvu yakuweza kumsahau huyo mtu.

Biblia inasema, Usiweke lulu kwenye pua ya nguruwe.

Usijichoshe dada, usiwe mtumwa wa mapenzi.

Mapenzi ni Kupendanda na wala sio "kupenda"

Sasa jitahidi utulie na kujituliza, umuache Mungu akuletee yule aliyebora na anae stahiri huo upendo ulionao moyoni mwako!!
 
Karibu katika group la mabachela, ukikutana na bachela mnaweza make something nice
 
Correction


Nilitaka kusema "kupendana"
 
Pole sana umukagame,
Nafahamu fika maumivu unayoyapata.
Cha msingi tumia muda wako kufanya kitu ukipendacho chenye kukupa furaha kuliko kukaa idle.

Na nina imani hata mwanaume pia huwa anapatwa na hali ya kumkumbuka mpenzi wake pale anapoona huyu mpya anavyopwaya. Hivyo inawezekana kabisa akawa wako bado cha msingi usiwe na maamuzi ya haraka.

Ila pia huu ni mchezo maarufu kuwakomoa wanawake wanaosumbua sanaa ambao baadhi ya wanaume wachache huucheza, pole kama ndivyo ilivyo maana yawezekana asiwe wako kwa kukukomoa sababu ya usumbufu wako.

NIKUTAKIE ASUBUHI NJEMA. PIA KUMBUKA WANA JF TUNAKUPENDA SANA.
ENDELEA KUTUSHIRIKISHA
 
Why you wanna go there
You should never go there
I guess we got go there

Weep not for the memories..
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…