R.I.P Maganga
RIP Maganga landlord wa zamani.........kilichomuua ni kipi?
Ndugu CTU,
Nikisema, kwa mfano, "mvua samaki aliyekuwa anamiliki sekondari ya Pwani Academy amefariki dunia" hutajiuliza maswali yoyote kuhusu career life ya huyu mvua samaki?
sikulaumu maybe ni zile shule zenunza vidumu na ufagio mkubwa wa chelewa kama mnaenda kuua nyoka huku shingoni mna cheni kubwa kama wavaazo vijana wa kileo wa muziki wa magharibi ila nyie tofauti yenu na wao wao aanavaa cheni ila nyie zinakuwa soo cheni bali ni visoda
Mkuu kama unamkashifu/kumkanya/kum-criticize mtu usitoe maneno ya jumla jumla. Hizo shule za kubeba vidumu na ufagio wengi wetu ndizo tumesomea na haina maana hatuko sawa upstairs. Na naamini hata wazazi wako kama walizaliwa 50's, 60's, 70's wamesoma hizo shule.........na bila shaka ndizo walisoma Wanazuoni wengi wakongwe nchi hii kama sio E.A pia walizosoma.
Kwenda shule "International school' or "Academy" haihitimishi kwamba utakuwa vizuri upstairs!
Happy new Year.