Enock Maganga of BoT is no more

Enock Maganga of BoT is no more

Mfumo wetu wa elimu unahitaji kurekebishwa sana ili ulingane na hali tulinayo nayo. Hii dhana ya kuamini Mtanzania hawezi kumiliki biashara kubwa ni ya enzi ya Ujamaa na Kujitegemea. Ni muhimu mtaala mpya wa Elimu ufundishe ujasiriamali kuanzia shule za msingi ili vijana waangaliwe kiakili na kuaminishwa kuwa ujasiriamali ni kitu muhimu sana kwa kila anayetaka uhuru wa kifedha (personal financial independence) na kwamba zoezi la ujasiriamali lianze mapema kabisa. Mawazo ya kuanza biashara baada ya kustaafu ni potofu.
 
Word..
 
Alikuwa bwanaako nini mbona umetoka omo fasta hivyo we kibabu? Usidhani sababu upo nyuma ya kioo ndiyo waweza kuandika lugha unayojisikia mazee

Kwani kuhoji kuna ubaya gani? Nadhani wewe ndiye mwenye fikra za kifukara.

Happy new year!

Wewe acha lugha za kejeli na dharau hapa ndani. Fuatilia michango ya watu kwa makini. C.T.U kuna jambo alikuwa anataka lijadiliwe. Wewe unataka kuvuruga mada. Kama huna cha kuandika nyamaza kimya.
 
Ndio huyu?
Enock-Maganga.png
 
hahaha, senk yuuu, wewe uliekuwa unaenda shule na begi lenye mkate wenye tanbond. Na mbwa (safari boots za bora).
aisee, kwangu haijalishi nimesoma shule gani, it matters how i am able to make the most out of any situation i meet. In the end of the day i am on top of my stuff. Ukuwe na mwaka mpya wa mafanikio, stop hanging on the vip-vestless days, tomorrow is calling you.

Sasa je mambo si hayo hebu nipe tano shoga yangu
 
Yale yale....
Uwezo wako wa kufikiri ndio umefikia hapo?
Na hivyo ndivyo unavyojenga hoja katika majukwaa kama haya?
Naamini mzee wangu alikuwa ana akili kuliko mzee wako ndio maana alinipeleka darasani na kuweza kuongeza something upstairs na hii inadhihirisha kwa kuchukua na kuangalia comments zangu na zako hapo... kwamba am too way far upstairs than you sikulaumu maybe ni zile shule zenunza vidumu na ufagio mkubwa wa chelewa kama mnaenda kuua nyoka huku shingoni mna cheni kubwa kama wavaazo vijana wa kileo wa muziki wa magharibi ila nyie tofauti yenu na wao wao aanavaa cheni ila nyie zinakuwa soo cheni bali ni visodaKuwa nyuma ya kioo kinanifanya niongee kwa kukemea yale yote nayoyaita mawazo finyu na mawazo hasi ya watu kama nyie kwani kwa kuhoji mambo ambayo hayana tija na msingi kwa mada husikaUulize as who are you mpaka uulize mkuu?Uko kwa auditing firm or something?-If not nipe sababu ya kuuliza tena kwa mashaka?Utanijibu eti anakula kodi yako maana ndio maiibu yenu nyinyi wasomi wa kileo...Anyway marry xmass mkuuuAsalam aleykum bondpost

Take a little look ya your life., na kama kuna difriculties zozote unazokumbana nazo nadhan umeshajua tatizo lako linalokufanya usifanikiwe
Attitude bwana mdogo
Attitude

Brazameni wa ingishi midiam. Hahahaha huna akili kabisa umeongea mambo ya kitoto sijui wewe ni pings? Sasa mambo ya shule ulizosoma na sijui babako vinahusiana nini?

Haya endelea kutusimulia na mamaako nae amesomea wapi? Nataka nikione foma inavyokumwagika!!! Na babu yako he?
 
talking of attitude, hahaha! What do we call yours? Unahisi tuliovaa cheni za vijiti na visoda hatukupata elimu? Hahahaha, attitude yako inanichekesha. Una akili za ingilishi midiamu ila unahisi ni za international school.

Ah wenye elimu zao bana hawachelewi kutaja na vibarua vyao humu. Maana amenishambulia asubuhisubuhi saa 12 duh!!! Tatizo hapa ataambulia stress wacha niwahi msibani mwanae ni mshkaji wangu nishamtoa povu mtu stress zimeniisha
 
Brazameni wa ingishi midiam. Hahahaha huna akili kabisa umeongea mambo ya kitoto sijui wewe ni pings? Sasa mambo ya shule ulizosoma na sijui babako vinahusiana nini?

Haya endelea kutusimulia na mamaako nae amesomea wapi? Nataka nikione foma inavyokumwagika!!! Na babu yako he?

Vinahusiana kuwa education is sexy.... elimu ni tamu...
Kwamba ukiwa na elimu huwezi ongea pumba kama ulizoongea na mbaya zaidi unazoongea ....
Na namshukuru baba yangu alitambua hilo ndio maana akanipeleka... sijui wewe mwenzangu.....

Ila unaweza rudi darasani hujachelewa... au kama una mtoto anza kuwekeza kwenye elimu usije ukafanya the same mistake kama baba yako aliyovyofanya..
 
JUst hear thr news that of of the prominent guy from BOT Mr. Maganga is no more, can somebody confirm?
...............Alikuwa rafiki yangu...... R. I. P. ENOCK Maganga..
 
Yale yale....
Uwezo wako wa kufikiri ndio umefikia hapo?
Na hivyo ndivyo unavyojenga hoja katika majukwaa kama haya?
Naamini mzee wangu alikuwa ana akili kuliko mzee wako ndio maana alinipeleka darasani na kuweza kuongeza something upstairs na hii inadhihirisha kwa kuchukua na kuangalia comments zangu na zako hapo... kwamba am too way far upstairs than you sikulaumu maybe ni zile shule zenunza vidumu na ufagio mkubwa wa chelewa kama mnaenda kuua nyoka huku shingoni mna cheni kubwa kama wavaazo vijana wa kileo wa muziki wa magharibi ila nyie tofauti yenu na wao wao aanavaa cheni ila nyie zinakuwa soo cheni bali ni visodaKuwa nyuma ya kioo kinanifanya niongee kwa kukemea yale yote nayoyaita mawazo finyu na mawazo hasi ya watu kama nyie kwani kwa kuhoji mambo ambayo hayana tija na msingi kwa mada husikaUulize as who are you mpaka uulize mkuu?Uko kwa auditing firm or something?-If not nipe sababu ya kuuliza tena kwa mashaka?Utanijibu eti anakula kodi yako maana ndio maiibu yenu nyinyi wasomi wa kileo...Anyway marry xmass mkuuuAsalam aleykum bondpost

Take a little look ya your life., na kama kuna difriculties zozote unazokumbana nazo nadhan umeshajua tatizo lako linalokufanya usifanikiwe
Attitude bwana mdogo
Attitude

Mkuu kama unamkashifu/kumkanya/kum-criticize mtu usitoe maneno ya jumla jumla. Hizo shule za kubeba vidumu na ufagio wengi wetu ndizo tumesomea na haina maana hatuko sawa upstairs. Na naamini hata wazazi wako kama walizaliwa 50's, 60's, 70's wamesoma hizo shule.........na bila shaka ndizo walisoma Wanazuoni wengi wakongwe nchi hii kama sio E.A pia walizosoma.

Kwenda shule "International school' or "Academy" haihitimishi kwamba utakuwa vizuri upstairs!

Happy new Year.
 
kwo
oote nilikuona wa maana had ulipo anza ponda shule zetu ziliponifikisha hap..sometimes muwe mnakubali kuagree kudisagree koz kila m2 ana misimamo yake
 
Mkuu kama unamkashifu/kumkanya/kum-criticize mtu usitoe maneno ya jumla jumla. Hizo shule za kubeba vidumu na ufagio wengi wetu ndizo tumesomea na haina maana hatuko sawa upstairs. Na naamini hata wazazi wako kama walizaliwa 50's, 60's, 70's wamesoma hizo shule.........na bila shaka ndizo walisoma Wanazuoni wengi wakongwe nchi hii kama sio E.A pia walizosoma.

Kwenda shule "International school' or "Academy" haihitimishi kwamba utakuwa vizuri upstairs!

Happy new Year.

nadhani utoto ama ushamba unamsumbua!
 
Yale yale....
Uwezo wako wa kufikiri ndio umefikia hapo?
Na hivyo ndivyo unavyojenga hoja katika majukwaa kama haya?
Naamini mzee wangu alikuwa ana akili kuliko mzee wako ndio maana alinipeleka darasani na kuweza kuongeza something upstairs na hii inadhihirisha kwa kuchukua na kuangalia comments zangu na zako hapo... kwamba am too way far upstairs than you sikulaumu maybe ni zile shule zenunza vidumu na ufagio mkubwa wa chelewa kama mnaenda kuua nyoka huku shingoni mna cheni kubwa kama wavaazo vijana wa kileo wa muziki wa magharibi ila nyie tofauti yenu na wao wao aanavaa cheni ila nyie zinakuwa soo cheni bali ni visodaKuwa nyuma ya kioo kinanifanya niongee kwa kukemea yale yote nayoyaita mawazo finyu na mawazo hasi ya watu kama nyie kwani kwa kuhoji mambo ambayo hayana tija na msingi kwa mada husikaUulize as who are you mpaka uulize mkuu?Uko kwa auditing firm or something?-If not nipe sababu ya kuuliza tena kwa mashaka?Utanijibu eti anakula kodi yako maana ndio maiibu yenu nyinyi wasomi wa kileo...Anyway marry xmass mkuuuAsalam aleykum bondpost

Take a little look ya your life., na kama kuna difriculties zozote unazokumbana nazo nadhan umeshajua tatizo lako linalokufanya usifanikiwe
Attitude bwana mdogo
Attitude

Siingilii ugomvi wenu ila umechemsha kuponda hizo shule wengi sana wamesoma hizo shule na wapo safi upstairs na mimi ni mmoja wao
 
Kwani huwezi kuwa mfanyakazi halafu ukawekeza jengo?
Chukinza kimasikini hizo
Ndugu CTU,

Nikisema, kwa mfano, "mvua samaki aliyekuwa anamiliki sekondari ya Pwani Academy amefariki dunia" hutajiuliza maswali yoyote kuhusu career life ya huyu mvua samaki?
 
I knew the guy....we used to go the same church! RIP Enock...
 
Back
Top Bottom