Enjoying nature's nature😍

isajorsergio hopefully unaweza kunipa abc kama unaufahamu mkuu
Yes bro!

Unaweza kutumia tovuti na mitandao mbalimbali kuuza na kusambaza picha. Baadhi ya tovuti zinazoweza kuingiza kipato kutokana na kazi yako ni National Geographic Images https://natgeocreative.com/ngs/photography/contact/ | Nature Picture Library www.naturepl.com | Minden Pictures www.mindenpictures.com/contact-us | iStock www.istockphoto.com/sell-stock-photos.php na nyingine nyingi.

Ikiwa utaona ugumu kuuza kimtandao basi unaweza kutengeneza loyalty photos na kuingiza kiasi japo kidogo na kuwezesha kupata endorsement kama ifuatayo;-

Unaweza kusambaza picha zako katika tovuti za loyalty free kama Unsplash, Pexels na Pixabay.

Nashauri kuanzisha kurasa rasmi katika Facebook, Instagram na Twitter ambayo utaipatia common username ambayo itakuwa attractive na rahisi kutambulika mfano @davinciphotos au @photosbydavinci na sio @da_vinci_photography.me akaunti za hivi upuuzwa.

Katika kurasa hizi hakikisha unapandisha picha katika quality bora, fine retouched na kuwa na consistency. Best dimensions ni 1080 x 1080 pixels na 1080 x 1350 pixels. Kadri inavyokuwa naamini utapata gigs either kuchukua picha za nature au kutangaza matangazo yenye mlengo wa tourism, photography na landscape, hapa utakuwa umeanza kuingiza kipato kutokana na kazi yako,.
 
Shida inatakiwa uwe na dollar kiasi za kuanzia na hapo Ndio mtihani. Kuna app nimejaribu kwanza Resolution ya picha wanazotaka simu yangu haiwezi chuku. Au kuna camera app bora?? Maana natumia built in camera/software.

Pia inatakiwa uwe na kiasi fulani cha Dollar kwenye kuanza au kulipia mission ya kuuza pic..
Shida huko fb pia inatakiwa ulipie pia page ili iweze kuwafikia watu zaidi.
Kazi ipo
 
Jaribu kutumia resources ulizokuwa nazo na alternative idea ya Loyalty Photos na hizo Digital Platforms. Usitumie pesa, nimekupa ushauri wa tags na consistency, lazima uta-penetrate.

Katika built in kamera angazia sehemu ya settings kuona ukubwa wa picha na kubadili. Someone Chizoba_CzB Chizoba anatumia simu na ameweza kufanya penetration hadi katika tour.
 
Ahsante kwa maelezo mkuu.. nitajaribu nikifanikiwa nitakujuza
 
Hongera sana Mkuu kama hutojali naomba tuongee Dm lets Join Together napiga picha za nature pia napenda nature kama ulivyojieleza hapo juu the same to me napiga picha za simu View attachment 2121519View attachment 2121516View attachment 2121517View attachment 2121518View attachment 2121521
 
Hili eneo zuri sana aisee yasni ukikaa huku unakua kama upo dunia nyingine kabisa hakuna fujo,no magari, watu wanaishi kijamaa halafu eneo lina ukijani pote. I wish niishi huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…