Hi there.....👋👋
Moja ya kitu nachopenda ni kutembea porini nione milima na mabonde, barabara,majengo na milima. I enjoy it to the fullest coz it's Just only me, Earphones,nature and Thinking. I mostly spend more than two hours walking on foot.
Nachofanya ni kuchukua tu pia ya mazingira nitakayoyapenda... Someone nilimuonyesha picha nazopigaga akaniamba niwe Photographer wa mazingira maana napiga picha vizuri.
{Mnaruhusiwa kutoa asilimia katika picha nilizopiga..)
✓✓NB: Zote nimepiga tu kwakua napenda mazingira nibaki na kumbukumbu.
#No Filter No Edit
Umewahi kufika kusini mwa Tanzania na kuona mandhari yake? Jaribu kutembelea huko kwani unaonekana dunia yako imeishia kaskazini mwa nchi!!! Anyway, hongera kwa picha nzuri.