Enjoy Your Weekend

Enjoy Your Weekend

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,621
Reaction score
4,312
Nakutakia weekend njema hapo ulipo!
Ndallo.jpg
 
So nice Ndallo,
But I'm trying to find out how I can get in touch with FF this Weekend.
 
Tandika shuka nyeupe chumbani kwako, chukuwa kitezo, fukiza ubani na ukichanganya udi wa mawardi kidogo itakuwa vizuri, koga panda kitandani, usinywe pombe aina yoyote, utadhurika. Hakikisha kitezo hakikosi ubani na udi. Ntakuja.

Tazama vizuri avatar yangu ntakuja kama nilivyo kwenye "back ground".
 
Mungi natumaini ujumbe kutoka kwa FF umeupata nenda kajiandae! Dada Faiza ngoja naLogOff nitarejea usiku mida yakuanzia saa 2 baada ya dinner, stay Tune!
 
Tandika shuka nyeupe chumbani kwako, chukuwa kitezo, fukiza ubani na ukichanganya udi wa mawardi kidogo itakuwa vizuri, koga panda kitandani, usinywe pombe aina yoyote, utadhurika. Hakikisha kitezo hakikosi ubani na udi. Ntakuja.

Tazama vizuri avatar yangu ntakuja kama nilivyo kwenye "back ground".

Eh! Mpenzi mbona masharti hivyo? La haula lakwata! Any way, njo kwa namna yoyote ile. Uje ki FF
 
Back
Top Bottom