Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 6,972
- 8,930
acha tuDah kuongea tatizo ila kiukweli kuomgea ndo njia tamu zsidi
Shule zina program ya debate ili kuboost uwezo wa watu kuongea mbele za watu. Lakini kama mtu by default hana uwezo wa kujieleza bado itakua kazi bureHapana sikumaanisha tunywe pombe, nililenga kujiamini ule nilitoa tu mfano nieleweke!
Walimu fundisheni kuongea, ila mwongeajipia aondoe hofu ya kuongea ajijengee kujiamini.
Hujakosea naona unanichora tu hapa 😀😀Very nice! (sijui kama nimekosea kuweka hiko kialama?? ☺ ).. ila hili somo mkuu japokua umelivunja vunja bado its too complicated to follow, namaanisha kidogo kidogo ingesaidia kwa sie slow learners..all in all ni somo zuri sana
Nini kofanyike kwa wanaotoa mitaala hii ya lughaIli tuelewe english lazima tufundishwe kwa kiswahili,yaani kutoka kwenye lugha fahamika kwenda kwenye lugha isiyofahamika.
Tumia lugha husika inayofahamika kufundisha lugha isiyofahamika.
Ila sisi kayumba tulikaririshwa ili tujibu mtihani sio tuweze kuongea,najifunza kizungu sasa hivi sitaki kukariri yaani unaelewa vizuri.
Sio kama zamani tulikosoma sisi unaambiwa ukoona too...to ukiona so .... that.
Kwa hyo ikitungwa sentensi wewe hauna haja ya kujua maana unaangalia tu kuna too hapo kati ? Ndio basi najaza to mbele ,tumesoma hivyo..
Hakuna formula ngumu sana kufundisha hii lugha.Nini kofanyike kwa wanaotoa mitaala hii ya lugha
Suala la Kuongea vizuri lugha yoyote linahitaji practice, ndiyo maana WaTanzania wengi wako vizuri kwenye uandishi kuliko kuongea Kiingereza! Kwenye shule zetu nyingi tunakitumia zaidi kiingereza kwenye maandishi sio kwenye kuzungumza...Hakuna formula ngumu sana kufundisha hii lugha.
Inahitaji watu wanaoelewa hiyo lugha kuwaelewesha wengine
Yaani watufundishe kiingereza kwa kutumia kiswahili chetu hasa ikiwa mtu ameshajifunza lugha mama ya kiswahili tokea utotoni.
Ofcourse kila nyanja inahitajia mazoezi kwa nyanja hiyo.Suala la Kuongea vizuri lugha yoyote linahitaji practice, ndiyo maana WaTanzania wengi wako vizuri kwenye uandishi kuliko kuongea Kiingereza! Kwenye shule zetu nyingi tunakitumia zaidi kiingereza kwenye maandishi sio kwenye kuzungumza...
Hii ni sahihi kabisa, je tuanze kufundisha english toka msingi.huku kiswahili kikiwa ndio somo pekee la lugha hiyo?Suala la Kuongea vizuri lugha yoyote linahitaji practice, ndiyo maana WaTanzania wengi wako vizuri kwenye uandishi kuliko kuongea Kiingereza! Kwenye shule zetu nyingi tunakitumia zaidi kiingereza kwenye maandishi sio kwenye kuzungumza...
Tutumie kiswahili mazima kutoka primary hadi chuo, Vitabu vyote msingi hadi sekondary viandikwe kiswahili ...Hii ni sahihi kabisa, je tuanze kufundisha english toka msingi.huku kiswahili kikiwa ndio somo pekee la lugha hiyo?
I like to teach but I don't know how to teach madameVery nice! (sijui kama nimekosea kuweka hiko kialama?? ☺ ).. ila hili somo mkuu japokua umelivunja vunja bado its too complicated to follow, namaanisha kidogo kidogo ingesaidia kwa sie slow learners..all in all ni somo zuri sana
Nataman sana kujifunza kingereza najua kusoma lakini kuelewa vitu vichache sana hata nikitaka nijaribu kuongea nachanganya data. Naomba mnipe kanuni ya kuweza kujifunza kingereza nianze na nini na nizingatie vitu gani. Niweze kuongea na kuandika
Corrections:...I’m Jf Expert member
Examples:
Da’Vinci is Jf expert member.
...Are you jf member?
Tense Tutoring next week if God's wish will favor my breath and health
Mimi nilijua Wavaa makobazi mnajua kiarabu tu na sio kingereza😆😆🤣🤣