English shidaa

au kama mkishindwa sana hebu jaribu kutafsiri neno mojamoja, hebu tuanze
Baba-father
mimi- me
ni-is
wa-of
ngapi-how many
kuzaliwa-to be born
kati ya-among
watoto wako- your children
"father me is of how many to be born among your children"
hapo vipi wadau...!?
 
Maswali mengine. Unamuuliza baba yako kwani wewe hujui wewe ni mtoto wa ngapi hata kwa kichaga?
 
Tatizo lugha zinatofautiana,kwa mfano kiingereza ni kinatumia WH wakati kiswahili ni FIRST HEAD language..kwa hiyo huwezi kupanga kwa tafsiri sisisi...
 
Back
Top Bottom