Celsus
JF-Expert Member
- Jul 25, 2008
- 381
- 440
Wakuu na Wadau wote, Mimi ninalo tatizo la kuielewa Hii Syllabus ya Elimu Msingi ya 2016. Syllabus hii imeletwa kwetu sisi walimu, tumeambiwa tuanze kuitumia; walimu 2 kwa kila shule walipewa mafunzo ya siku 9, kisha waje kutufundisha jinsi ya kuitumia.
NISICHOELEWA ni kwamba Syllabus hii, ambayo ni detailed, haioneshi nifundishe kitu gani (topics), bali ina vitu vipya kabisa, kama hapa chini:
Main competence Specific Competence Activities to be performed Assessment Criteria Benchmarks
by the pupil
Sisi walimu ambao hatujapata mafunzo ya mambo haya mapya tunapata shida ya kutengeneza schemes na maandalio ya masomo. Kwa kuwa kama mimi siwezi kuandika ati nafundisha topic ya Main Competence. Naombeni Msaada wenu wakuu maana natakiwa kufundisha, nashindwa nifanye nini!!