English course

Sasa wao wananisema mm cjuii
Ndo mana unaona wanajuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Halafu unawaonesha kabisa u mnyonge,,nao wanakupigia unacheza,hao wachina wahuni sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu vip unatataka ya hostel au day

Maaana kuna watu hata driving school wanakaa hostel sasa tuanzie hapo kwanza
Hahahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
 
Am red tu tichi yu inglishi, kamu tu mai plesi plizi, mai ofisi izi loketedi nia aghakani hospito, yu a mosti welkamudi,
 
Misamiatii ipo mkuu wanguuu
kama misamiati ipo we teleza tu broken, utazoea mbele kwa mbele, huwa kinakuja chenyewe kadri unajizoesha kuongea na kusikiliza wengine wakiongea kiingereza mfano movies, kusoma machapisho ya kiingereza nk
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…