P pureman2 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2019 Posts 1,491 Reaction score 2,563 Sep 12, 2020 #1 Wakuu, kwa members wanaoishi Dodoma naomba kupewa taarifa Kama Kuna English club inayotoa fursa ya kujifunza na namna ya kuitumia lugha ya kingereza hapo Dodoma mjini. Natanguliza shukrani zangu
Wakuu, kwa members wanaoishi Dodoma naomba kupewa taarifa Kama Kuna English club inayotoa fursa ya kujifunza na namna ya kuitumia lugha ya kingereza hapo Dodoma mjini. Natanguliza shukrani zangu
T Tunapita1 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2020 Posts 561 Reaction score 1,010 Sep 12, 2020 #2 Nenda chamwino hapo
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,322 Reaction score 56,057 Sep 12, 2020 #3 Tunapita1 said: Nenda chamwino hapo Click to expand... .😄atakutana na docta mzalendo mtaalamu wa english africa mashariki na kati kiboko ya mabeberu
Tunapita1 said: Nenda chamwino hapo Click to expand... .😄atakutana na docta mzalendo mtaalamu wa english africa mashariki na kati kiboko ya mabeberu
T Tunapita1 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2020 Posts 561 Reaction score 1,010 Sep 12, 2020 #4 mdukuzi said: .😄atakutana na docta mzalendo mtaalamu wa english africa mashariki na kati kiboko ya mabeberu Click to expand... Ndio atamfundisha kiambishi kikurupushi
mdukuzi said: .😄atakutana na docta mzalendo mtaalamu wa english africa mashariki na kati kiboko ya mabeberu Click to expand... Ndio atamfundisha kiambishi kikurupushi
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,322 Reaction score 56,057 Sep 12, 2020 #5 mdukuzi said: .😄atakutana na docta mzalendo mtaalamu wa english africa mashariki na kati kiboko ya mabeberu Click to expand... Interprentenuer
mdukuzi said: .😄atakutana na docta mzalendo mtaalamu wa english africa mashariki na kati kiboko ya mabeberu Click to expand... Interprentenuer
mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,337 Reaction score 12,469 Sep 12, 2020 #6 Huwa nasikia sabasaba wanampromote mtu moja but sikuwa na interest
A Abdul Mganyizi JF-Expert Member Joined Oct 28, 2019 Posts 1,040 Reaction score 2,009 Sep 12, 2020 #7 Mnataka kumsaidia mzee Yohana Miti mingi nae ajue lugha?