Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,807
- 17,359
Sujakubaliana na wewe ,Kila watu kabila na rangi zao Wana accent,yaani unataka ubane pua ili ufanane na mzungu wa Scottish or Irish,hata black American akiongea English yake ni mbali na mtu Asia aliyehamia USA.Kuitumia lufidhi yako ya kipuuzi tofauti na ile ya native speakers inamaanishi wewe siyo fluent, ndo maana unafundishwa matamshi ya maneno ya kiingereza.
Umenielewa?
Otherwise unataka utumwa ama u mtumwa wa hulka ya watu wengine, mie nimekaa mjini tokea utoto wangu Ila bado Nina lugha yangu na Sina haja ya kujificha. Vijana wanakuja juzi tu hapa mjini nishamaliza adi chuo Ila wanabadilisha kiswahili kuwa kiwe cha yai sijui Nazi Ila mie Sina haja na Hilo Mana am so comfortable with BEING ME.
I don't need any shit to verify or qualify me just to be ME.