mfuaji
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 632
- 1,101
Okay, what is mbususu in English.Usipoziba ufa utajenga ukuta.
Okay, what is mbususu in English.Usipoziba ufa utajenga ukuta.
Where were you all this time just to remember me today?Asante sana mkuu sasa nikitaka kumwambia mzungu " ulikuwa wapi siku zote hizo hadi unanikumbuka leo?
Nasemaje hapo in English
Mbususu ndio nini? Pia mimi unifunze Kiswahili.Okay, what is mbususu in English.
Where have you been all this while that you remember me only today?Asante sana mkuu sasa nikitaka kumwambia mzungu " ulikuwa wapi siku zote hizo hadi unanikumbuka leo?
Nasemaje hapo in English
Asante sana ngoja nimjibu hapaWhere were you all this time just to remember me today?
ni KMbususu ndio nini? Pia mimi unifunze Kiswahili.
Huniwezi mimi ni maji marefu, in English pleaseHello,
This thread is specifically to help Tanzanians who misunderstand English statements because it's been happening a lot recently. We will quote the statement and the response from the confused fellow and explain the intended meaning here or if it is a wrong statement, we will correct it here.
Regards
Kenyans.
Wengine kingreza tulifeligi mjue!!!
Acha wenge wewe huku kwetu neno bibi halitumiki katika muktadha huo, kwanza wakenya mna kiingereza gani cha kutufundisha watanzania, hiko hiko chenye matamshi ya kikwenu eti 'nashon' badala ya 'neshen' kwa maana ya "nation"..give us a break!!Wife's land.
Nimecheka nikazimia, wakanipepea nikafufuka😅😅😅Nimelia sana
But why Trump do not understand Indian EnglishHow can an accent be broken?
Accent is the distinctive way of pronouncing words by a particular person or a particular group of people. Accent does not detremine whether a langiage is broken or not.
Hujanielewa anamaanisha lafudhi, mfano mwarabu ama mahindi akiongea English unajua kuwa huyu ni mwarabu, ama mwafrika Sasa wewe unataka utamke matamshi Kama mzungu kabisa wa uk, acha utopolo hata kiswahili mtu unajua kabila lake ndicho anachokuambiaIf you are not good at pronunciation then you don't know the language.
This is to say that Kenyans aren't fluent in English at all.
Ze bad is back😎Ubaya Ubwela in English please ..
Hawa nyang'au wanatamka agenesti badala ya against, ha ha ha wanachekesha sana😎Acha wenge wewe huku kwetu neno bibi halitumiki katika muktadha huo, kwanza wakenya mna kiingereza gani cha kutufundisha watanzania, hiko hiko chenye matamshi ya kikwenu eti 'nashon' badala ya 'neshen' kwa maana ya "nation"..give us a break!!
Kuitumia lufidhi yako ya kipuuzi tofauti na ile ya native speakers inamaanishi wewe siyo fluent, ndo maana unafundishwa matamshi ya maneno ya kiingereza.Hujanielewa anamaanisha lafudhi, mfano mwarabu ama mahindi akiongea English unajua kuwa huyu ni mwarabu, ama mwafrika Sasa wewe unataka utamke matamshi Kama mzungu kabisa wa uk, acha utopolo hata kiswahili mtu unajua kabila lake ndicho anachokuambia