Zamaulid
Platinum Member
- May 25, 2009
- 20,240
- 16,601
hawa ndo washakamliwa hawana namna kwa sekunde zilizo baki!!!Brazil sio tena wale wa zamani
hawa ndo washakamliwa hawana namna kwa sekunde zilizo baki!!!Brazil sio tena wale wa zamani
hawa ndo washakamliwa hawana namna kwa sekunde zilizo baki!!!
i think, the need to work more hard!they might not even reach the quarter final!!!Can you see this team winning the world cup on their own land?
Nasikia wanasema mtakatifu GAUCHO ameitwa leo. Ngoja tuone.
Wakati tunasubiria mechi ya kirafiki kati ya England na Brazil hebu bofya hapo chini ujikumbushe bao safi la Gaucho ambalo linawauma waingereza na haswa kipa wao Seaman.
Ronaldinho Free Kick v England - 2002 World Cup - YouTube
mkuu EMT ulikuwa una maanisha nini na haya maneno!!!!kwa vile source ni wewe mwenyewe hope utanifafanulia!!!!!kuhashua, kuhashukwa,Hahashukwi,hahashui!!
Nomino ya neno flirt kwa Kiswahili sanifu ni "hashuo"
Kwa hiyo kwa Kiswahili, ku-flirt ni "kujihashua" au "kuhashukwa"
Ukitaka kusema Rosa ana-flirt na Juma unaweza kusema hivi:
1. Rosa anajihashua/anamhashukia Juma (ikiwa ni Rosa tu anaetenda)
2. Rosa anahashukiana na Juma (ikiwa wote wawili wanatendeana)
Tanabahi 1
* Kwa hulka na tamaduni ya Kiswahili kuhashua/kuhashukwa hakubebi dhana kuwa kuna dhamira ya ngono kila wakati.
Unaweza kumhashua dada, kaka, mama, baba, bibi au babu yako (na bila ya shaka mke au mume wako).
Kwa hiyo mbali na kumaanisha ku-flirt, kunamaanisha pia kuonyesha mapenzi wazi wazi kwa mtu wako
Tanabahi 2
*Ukimsikia mtu kakuambia "hebu usinihashukie" jua umetukanwa tusi kubwa mno.
si unajua tena yeye anaonekana kaka mkubwa kwa hiyo madogo wakamwachia!!!