Ndio mjue hii dunia mabeberu ndio wana power, wanafanya wanavyojisikia, unachokisikia na kukiona wewe kwenye media ni wao wametaka wewe uone na kwa lengo lao.
Watu wameuwawa sehemi tofauti tofauti, dunia kwa % ikawa kimya, kwa ukraine watu wanashupaza shingo(siungi mkono nchi kuvamiwa wala mauwaji yoyote)
Fifa walikataza siasa kwenye michezo, ila wao sasa ndio wamekuwa kimbembele front katika hili..
Hilo linalofanyika pale lina baraka zote za FIFA, ukijiuliza chelsea inahusika vipi mpaka inyanyasike hivi hata huelewi.