Hivyo vyou vya jamii ya wahindi lazima watumie kila mbinu watu waonekane wanafaulu ili wapate masoko zaidi.Pia hao patime Dr wakiwafelisha hakuna job ya ziada...Lakini kule UDSM wanahuakika na pia mtu akirudia mitihani kila anayerudia anapewe allowance ya kutunga mtihani wa SUPP..hiyo ndo UDSM .Mfano darasa lina wanafunzi 350 Engineering wanapafaul 50 wengine 300 SUPP.(Tsh 10,000 x300=3,000,000) na hiyo ilikuwa miaka ya 1997-8..Kwa mtaji huyo GPA UDSM zitakuwa chini...
Ni kweli hapo UDSM kila mwanafunzi anayefanya Supp DR.au Prof anayerudia kutunga paper anapewa allowance per each student..nina huakika 100.
Ni kweli hapo UDSM kila mwanafunzi anayefanya Supp DR.au Prof anayerudia kutunga paper anapewa allowance per each student..nina huakika 100.
kwani ni kipi cha ajabu kwa wanafunzi wa st joseph kupata gpa kubwa ila wangekuwa wa udsm msingesema kwa kuwa ni haki yao,udsm ilikuwa zamani siku hizi chuo kimepwaya madesa kwa kwenda mbele utafikiri wanafunzi wa iteba vocational training centre
Kama uhandisi ungekuwa wa GPA duuh, some wangekuwa wanafuga kuku kama jamaa mmoja alivyosema hapa! Jamani tusisahau kuwa in order to do well in life and careers/professions, we should invest alot on life learning programs. We must keep on learning and learning continuosly.
Hizi GPA za madesa hazina nafasi kama mtu hautakuwa creative na kuonyesha nia ya kutaka kupata achievement.
Nakumbuka chuo kuna Dr Mmoja alikuwa mahili kwenye soil mechanics na akawa anafanya karibu consultancy zote za stuctures kubwa kubwa. Yeye yule Dr wakati anafanya kweli kwenye practicals, na kujiingizia kipato, alibaki kuwa assistant lecturer kwa muda mrefu. Alichokuwa anafanya kuna maprofessor walikuwa wanavikimbia.
Come on guys, GPA is one thing and delivering outstanding results is completely another. Kitu cha kuangalia sana ni kutojidumaza kusolve madesa na kusahau kudevelop skillls za kuwa learners.Hapo tutakuwa tumekosea sana na tutaendeleza wimbo ule ule uliozoeleka kwamba serikali haiwajali engineers. Kama wao hawajijari nani unafikiri atawajari.
We earn most of the good things in life. They never come kama gifts.
Usiongee kizembe kizembe wakatoliki wapo serious n elimu kile chuo kinaendeshwa kwa misingi y seminari na tunapoelekea engnrng ya pale itakuw marketable zaidi y udsm