Engineers wa St. Joseph College na GPA kubwa kubwa

Mtaalam wa Soil Mechanics na Foundation Engineering, lakini pia Highway and Transportation Engineering nadhani ni Dr Nya..r.. wa CoET.Namkubali kwa mambo ya Geotechnics! Kama alivyosema mdau ripoti nyingi za hali ya udongo kwa majengo na miradi mikubwa yeye ndo huandaa ripoti hizo, lakini uprofessor wenzake wanamuwekea ngumu, lakini kwa dhati jamaa yuko vizuri, anajua aisee!

Mimi sijasema...I truly believe in continous and life long learning tricks...they work wonders! Ndio maana usomi wetu hauendani kabisa na vitendo vyetu maana inawezekana we solved the most difficult question and forget to develop educated minds.
 
Nimekuwa na ukaribu na baadhi ya graduates wa fani ya uhandisi kutokana na kwamba either nimefanya nao kazi au nimewahi kuwa class-mate wao katika level mojawapo from secondary to university.

Kati yao, wengi wamegraduate either CoET (UDSM), DIT au St. Joseph's College of Engineering. Wapo wachache pia wa SUA (NB kuna Engineering pia pale).

Katika vyuo hivyo, nimegundua hawa wa St. Joseph's waliograduate juzi kati hapo kwa mara ya kwanza tangu kianzishwe (esp waliosoma 4 yrs), wamekuwa na GPA kubwa kubwa sana. Wengi darasani wamepata GPA za 4 point something zinazofikia hadi 4.8 , huku vyuo vingine vya Uhandisi graduates wake wakipigana hasa utakuta 'mkali' darasani anapata GPA ya 4.2 au around that, wengine wakiishia lower second.

Lakini pia tusisahau kwamba baadhi ya walimu wa Uhandisi UDSM na DIT ndo hao hao wanaoenda kufundisha St. Joseph's as part time lectures.

Nimeleta thread ili tubadilishane mbinu ili graduates vyuo vingine nao wafaulu sana.

Sinkala upo mkuu? Nakumbuka hii thread nilikuwa nikiisoma kama guest. Naona sasa wanafunzi wenyewe wanasema wanapewa A++ lakini kichwani hamna kitu wanachokuwa wamebeba.
 
mkuu anzia chini tu ngazi ya secondary hao st.marian sijui st.francis walimu wao ndo wanaosahihisha necta?
mimi nimeshakuwa na vijana wengi wa field toka vyuo mbalimbali katika site za ujenzi lakini hao vijana toka st.joseph wanaonesha wako vizuri ki pracritical zaidi na wanaonesha kujiamini na nidhamu ya hali ya juu!
Kiongozi umesema kweli,hawa watoto wa St Joseph wakiwa makazini wanafanya vizuri sana,pia wananidhamu ya hali ya juu
 
SJUIT Wanasoma kama dsrasani unavyiona Advance akitoka mwalimu anaingia mwalimu , mwanafunzi kutoka wakati mwalimu anafundisha unatakiwa uombe ruhusa , mwalimu aki miss. Kipindi inabid ato maelezo , notes zipo , vitabu , vipo lab , zipo mwanafunzi wa SJUIT Anauwezo wa kuonana moja kwa moja na mkuu wa chuo au head of department bila hata, kupita kwa mwalimu wa darasa yaani wapo karibu na uongozi mzima pia , head of department hupita kukagua kama, walimu wapo darasani , syllabus na notice hutolewa mapema hivyo ni rahisi mwanafunzi kusona mapema , mitihani ya stjoseph hupima uelewa in general yaani hauwezi kufeli kama ulisoma , tofauti na vyuo vingine vya engineering kama vile dit ulichosoma na mtihani vitu viwili tofauti , kumaliza na gpa ndogo sio sifa vyuo vya serikali vinautaratibu mbaya yaani ukisoma stjosep wew ndio utamkimbia mwalimu sio mwalimu akukimbie mwanafunzi hata kama mwalimu amemaliza syllabus sheria ya sjuit mwalimu inabidi kubaki, darasani mpaka muda uishe utakuta muda huu, wanafunzi wanauliza maswali ya mada walizosoma au kumuomba mwalimu arudie mada za nyuma vitu kama hivyo serekalini hakuna
 
Back
Top Bottom