CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
Hivi mtu anaweza kutoka VETA akaenda University au ni kwa wale wanaotokea Technical colleges...am just asking!.
Personally, nilianza IFUNDA TECH SCHOOL, THEN MBEYA TECH COLLEGE and last FoE pale UDSM. Hawa wa VETA, generally, kwenye hesabu wanakuwa si wazuri sana ukilinganisha na hiyo sequence niliyoitaja hapo juu. kwa ujumla wanaanza wa tech scool, tech college and BSC eng, halafu wanafuata hao wanaoanzia veta and last wa kutoka six. All in ALL personal passion kwenye nyanga unasokata itakufanya uwe OK kwenye nyanga hizo.Wanafunzi wa VETA wengine wanakuwa form six leavers ambao baadaye wanaamua kujiendeleza kwenda University. You might be right most probably ni technical colleges ambao wanaanzia veta, then technical colleges. Yeye alisema wanafunzi walioanzia veta then up to university
unasema kweli mkuu huyo mkuu wa chuo cha veta hana sifa kabisa za kuongoza chuo amepewa kwa fadhira tu, elimu yake ni ya utata mtupuUnaweza kuta hata huyo mkuu wa chuo cha mafunzo ameanzia huko au bado anasifa za kiveta,unafikiri atacoment nini. Sifa kubwa ya watu wa VETA hawana engineering knowledge.
Wanafunzi wa VETA wengine wanakuwa form six leavers ambao baadaye wanaamua kujiendeleza kwenda University. You might be right most probably ni technical colleges ambao wanaanzia veta, then technical colleges. Yeye alisema wanafunzi walioanzia veta then up to university
Unachosema hakina ukweli wowote ndani yake labda ni kutaka kudiscourage watu wanaotaka kuingia advance then university, ki ukweli mtu akipita advance akachukua PCM then engineering yoyote nyie wa tech hamwezi kumfikia hata kidogo labda awe mwenyewe ndo mbovu tu, kwanza watu kutoka Advance akili zao zinachemka balaa, niliona hata mtihani mnayopewa ni simple kinoma,, Advance - University ndio route moja ambayo ndio the best. kawaida tu kupondea vitu vikubwaPersonally, nilianza IFUNDA TECH SCHOOL, THEN MBEYA TECH COLLEGE and last FoE pale UDSM. Hawa wa VETA, generally, kwenye hesabu wanakuwa si wazuri sana ukilinganisha na hiyo sequence niliyoitaja hapo juu. kwa ujumla wanaanza wa tech scool, tech college and BSC eng, halafu wanafuata hao wanaoanzia veta and last wa kutoka six. All in ALL personal passion kwenye nyanga unasokata itakufanya uwe OK kwenye nyanga hizo.
inawezekana sababu anakuwa amevianzia tokea mwanzo tofauti na wanafunzi waliotokea sekondari...