mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,512
- 14,610
Injinia unataka kukaa kwenye viyoyozi ili iweje?
Kwanza mna faida gani kwenye hili Taifa wakati hata kutengeneza barabara ya vumbi hamuwezi mpaka msaidiwe na wachina!
Kila field ya engineering unakuta michina na mizungu tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni vigumu sana kum pridict mahali alipo mtu wa jamii forum, ni vigumu sana. Mimi sipo katika hiyo mikoa unayo i predict. Na pia sio kwamba nina maisha magumu kama unavyo fikiria. Ila nimependa kuwaeleza vijana real situation iliyopo bongo. Bongo saivi inahitaji uwe na Maarifa mengi. Uwe na vyeti vingi ndio unatoboa na kuwa na maisha mazuri
ππππInjinia unataka kukaa kwenye viyoyozi ili iweje?
Kwanza mna faida gani kwenye hili Taifa wakati hata kutengeneza barabara ya vumbi hamuwezi mpaka msaidiwe na wachina!
Kila field ya engineering unakuta michina na mizungu tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni kweli lkn daah michosho sana hawa watu wa art ndio wanao tusua
Udsm mkuuUmesomea chuo gani mkuu
Mzee hii nakuomba hata ugugo utaipata. Kuna mwingine anafundishwa science behind Engineering na ni kwa nini hii inakuwa kuwa hivi, na mwingine anafundishwa just Engineering.
Tajiri Mapesa, Aisee kama unasoma engineering kuwa boss.. basi umekosea fani.
Engineer ni mtendaji.. mtekelezaji.. kwa wale wenye pashen ya kuvumbua na kutengeneza mambo fulani engineering inawafaa.
Kama ingekuwa haina ishu.. leo hii nafasi za kazi zingekuwa hazitangazwi kwa ma engineer.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo sana tu. The difference is wamefichwa na hali ajira ilivyo. Pamoja na mfumo mzima wa serikal ambao hau support wavumbuzi wazawaHivi bongo kuna watu wenye passion na ugunduzi
Wahandisi wa Civil, Wataalan wa Afya, MA IT n.k
Mi sijaona mwenye passion, wote ni wa kudesa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kweli .Wapo sana tu. The difference is wamefichwa na hali ajira ilivyo. Pamoja na mfumo mzima wa serikal ambao hau support wavumbuzi wazawa
Sent using Jamii Forums mobile app