Engineering haina issue kwa sasa

MIE ni nahitaji Engineer Wa kunipa uzoefu yani anifundishe kazi awe role model wangu. Discipline ni Civil Engineer. Nipo tayari kujigharalimia gharama zote nachotaka ni kufundishwa kazi tu na si kingine. Sijaongezewa mktaba kisa inaonekana MIE kilaza Sina uzoefu sijui kazi. Imeniumaje ila Aliyeniumba anajua kesho yangu
 
Nakukatalia ndugu. Binafsi nipo kwenye sector ya Engineering huu ni mwaka wa 18 sasa naelewa vizuri sana. Huwa kuna gap fulani ambalo wote mkiwa kazini ndio utaliona hasa kwenye kutoa solution.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo kwenye Engineering kwa miaka 18 ila kuna kitu hujakijua tofauti ya know how and know why. Ama aliyesoma Bsc in Xxxxx Engineering na aliyesoma B.E in Xxxx Engineering.
Kuna mmoja anafunzwa technical know how and mwingine technical know why.
Ukijua kutofautisha kidogo itasaidia
 
Injinia unataka kukaa kwenye viyoyozi ili iweje?

Kwanza mna faida gani kwenye hili Taifa wakati hata kutengeneza barabara ya vumbi hamuwezi mpaka msaidiwe na wachina!

Kila field ya engineering unakuta michina na mizungu tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we'll be in touch

My life is mine to remember
 
Hahaha eti kuna kitu hujakijua. Unuhakika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Engineering ni pana. Sio tu kwenye barara.. kuna mooala wa electrical.. mechanical.. telecom.. wote hao ni certified engineers. Sio tu wa kujenha barabara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesomea chuo gani mkuu
 
Engineering ni pana. Sio tu kwenye barara.. kuna mooala wa electrical.. mechanical.. telecom.. wote hao ni certified engineers. Sio tu wa kujenha barabara

Sent using Jamii Forums mobile app
Ofcourse Engineering zipo nyingi kuna soft and hard engineering. Mtu kama Biomedical engineer hana kazi ngumu kivileeee,
 
Hu
Kuna rafiki yangu ni Mhasibu mkuu msaidizi wa TANROADS mkoa fulani...aliniambia angejua Engineering ni deal kiasi hiki angesoma mpaka technician tu. Hata asingejisumbua kusoma mpaka kua Engineer.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo alikudanganya alafu yupo taasisi mbaya ndio sababu mhasibu wa taasisi kama EWURA sio mtu wa kawaida
 
Elezea vizuri why na how
Sent using Jamii Forums mobile app
 


Hapo kwenye bold, Hii ni Iringa,Njombe au Ruvuma lazima.

Pole mkuu endelea kupambana ipo siku utatoboa.
 
Hapo kwenye bold, Hii ni Iringa,Njombe au Ruvuma lazima.

Pole mkuu endelea kupambana ipo siku utatoboa.
Mkuu ni vigumu sana kum pridict mahali alipo mtu wa jamii forum, ni vigumu sana. Mimi sipo katika hiyo mikoa unayo i predict. Na pia sio kwamba nina maisha magumu kama unavyo fikiria. Ila nimependa kuwaeleza vijana real situation iliyopo bongo. Bongo saivi inahitaji uwe na Maarifa mengi. Uwe na vyeti vingi ndio unatoboa na kuwa na maisha mazuri
 
Ofcourse Engineering zipo nyingi kuna soft and hard engineering. Mtu kama Biomedical engineer hana kazi ngumu kivileeee,
There is no such a thing as soft na hard engineering.
Engineering is about creativity then unai teansfer from papers into real.world.
Hao bio medical ndio wako responsible kutengeneza bifaa vya mahospitalini.. mashine za mahospital as well as kurepair.
Kwa wenzetu huko nje hawa jamaa wanatengeneza hadi artificial organs..
Hawana kazi ngumu kwa vile hapa nchin sio sana kivile.. lakin kwa wenzetu nchi za nje hawa washkaji wanapiga kazi sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
It's true
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…