Engineering haina issue kwa sasa

Ni kweli kabisa,mwenye kuanza na diploma ana uwanja mpana wa ufahamu kuliko wa form six anaenda digree
 
Huyu ni engineer katika sekta ipi kwanza?
Engineer analalamika na kujifananisha a HRs!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Engineer hana ishu nani kasema,wakati kiwanda kikizima hata lisaa limoja MD na watu wa Marketing wanamtafuta engineer wapo lazi wampe hata tako akawashe mtambo ,hapo ndio utajua mhandisi ndio nani ??
 
Nafasi bado ipo akishakuwa mhandisi unaweza ukakusanya mauzoefu plus MBA mwisho wa siku akaukwaa u MD harafu hao wote kina madame Cecilia wakawa wana report kwako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…