Tajiri Mapesa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 707
- 753
Nadhani mtendaji no technician au artisanAisee kama unasoma engineering kuwa boss.. basi umekosea fani.
Engineer ni mtendaji.. mtekelezaji.. kwa wale wenye pashen ya kuvumbua na kutengeneza mambo fulani engineering inawafaa.
Kama ingekuwa haina ishu.. leo hii nafasi za kazi zingekuwa hazitangazwi kwa ma engineer.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui mgawanyo wa majukumu omba ufundishweWakuu nimeshituka saivi engineering sio issue tena kwasababu tutaishia kutumwa tu huku watu wa accounting, finance, procurement, HR, wakina madam Vero wanaingia ofisini na vipochi vimejaa lip sticks, na perfume na kuishia kukaa kwenye viyoyozi na kupokea, visimu vya mezani huku engineer anakuja na bonge la gubegi gumejaa PPE. (Buti kubwa, na overall).
Mkuu kiukweli ni matusi tupu kukesha kuwapelekea CV zetu HRS tulio wafunza hesabu olevel na advance wao waliwahi kulala sisi tukakesha na misuli. Leo ndio wanapima mishahara yetu.Aisee kama unasoma engineering kuwa boss.. basi umekosea fani.
Engineer ni mtendaji.. mtekelezaji.. kwa wale wenye pashen ya kuvumbua na kutengeneza mambo fulani engineering inawafaa.
Kama ingekuwa haina ishu.. leo hii nafasi za kazi zingekuwa hazitangazwi kwa ma engineer.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo maana nikakwambia hujui mgawanyo wa majukumuMkuu kiukweli ni matusi tupu kukesha kuwapelekea CV zetu HRS tulio wafunza hesabu olevel na advance wao waliwahi kulala sisi tukakesha na misuli. Leo ndio wanapima mishahara yetu.
Makamasi kivipi?Baadhi ya ma HR ni makamasi tu kichwani hasa huyu HR flani ivi yupo kwenye shirika moja ivi. Napenda aje kufukuzwa kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo maana nikakwambia hujui mgawanyo wa majukumu
Una uhakika kwamba walikuwa walala? Kuna watu wamesoma social science na walikuwa wanakesha Mbona
Kuhusu mshahara ni kwamba unaweza ukamzidi mshahara HR na ni kawaida ndiyo maana daktari mwenye degree anaanza na 1.5M(kama sikosei)wakati hrm,sociology, public administration 700,000/- ambayo ni Mara 2
Kuhusu kupeleka barua kwa HR hiyo ndiyo moja ya majukumu yake, ni Kama wewe unapofanya structural design, unapopima strength of material maabara
Sio kweli, watu wa arts hawatusui kiivyo,Mkuu ni kweli lkn daah michosho sana hawa watu wa art ndio wanao tusua
Jidanganye.!!!!Wakuu nimeshituka saivi engineering sio issue tena kwasababu tutaishia kutumwa tu huku watu wa accounting, finance, procurement, HR, wakina madam Vero wanaingia ofisini na vipochi vimejaa lip sticks, na perfume na kuishia kukaa kwenye viyoyozi na kupokea, visimu vya mezani huku engineer anakuja na bonge la gubegi gumejaa PPE. (Buti kubwa, na overall).
Wakuu kiukweli ni matusi tupu kukesha kuwapelekea CV zetu HRS tulio wafunza hesabu olevel na advance wao waliwahi kulala sisi tukakesha na misuli. Leo ndio wanapima mishahara yetu.
Mbaya zaidi ukienda kwenye makampuni wanao pack vigari maofisini ni watu wa HR, ACCOUNTING AND FINANCE NA WATU WA PROCURE. Inauma sana wakuu.
Wewe ndiyo maana nikakwambia hujui mgawanyo wa majukumu
Una uhakika kwamba walikuwa walala? Kuna watu wamesoma social science na walikuwa wanakesha Mbona
Kuhusu mshahara ni kwamba unaweza ukamzidi mshahara HR na ni kawaida ndiyo maana daktari mwenye degree anaanza na 1.5M(kama sikosei)wakati hrm,sociology, public administration 700,000/- ambayo ni Mara 2
Kuhusu kupeleka barua kwa HR hiyo ndiyo moja ya majukumu yake, ni Kama wewe unapofanya structural design, unapopima strength of material maabara
MKUU tusaidiane connection kama unaweza hata kwenye hizo kampuni ndogo tuMkuu nakusapoti.
Inategemea jamaa alipita kwenye kampuni za level gani,mimi bahati nzuri baada ya kusoma Engineering na kumaliza chuo nimebahatika kupita kwenye kampuni za level zote.
Kwa mfano ukienda kwenye kampuni ndogondogo za wahindi na kampuni zingine zinazofanana na hizo huwa wanawadharau watu wa Engineering na wanaonekana wanyonge,wanawaogopa watu wa maofisini kama HR.
Ukienda kwenye kampuni za level ya kati wanabalance yaani Engineers,HR,Procurement hawaachani sana kwenye mishahara.
Na ukienda kwenye kampuni za level za juu zaidi Engineers wanathaminika kuwazidi hao watu wa HR na wahasibu unaosema na wanawaogopa Engineers.
So inategemea sehemu ulizopita umepata exposure gani.
Hata mimi mwanzoni wakati nimeanza kufanya kazi kwenye vikampuni vya wahindi nilitokea kuichukia sana Engineering lkn sasa hivi naipenda sana na najipongeza kusoma Engineering.
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU tusaidiane connection kama unaweza hata kwenye hizo kampuni ndogo tu
Imekuwa hivyo na iyakuwa hivyo. Ww kama unangaalia kuwa ulikesha sana imekula kwako.Mkuu kiukweli ni matusi tupu kukesha kuwapelekea CV zetu HRS tulio wafunza hesabu olevel na advance wao waliwahi kulala sisi tukakesha na misuli. Leo ndio wanapima mishahara yetu.
Bad news ni kwamba mtu afukuzwi kazi kwa chuki zako binafsi. Alie juu yuko juu. Pambana na ww ufike hukoBaadhi ya ma HR ni makamasi tu kichwani hasa huyu HR flani ivi yupo kwenye shirika moja ivi. Napenda aje kufukuzwa kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaelewa kamasi tunazipenga . Kama uchafu sasa mtu mwenye ubongo wa kamasi unamuonaje.Makamasi kivipi?
Yes but origin yao wote ni watu wa field. Si watu wa kulalia viti vya ofisi.Nadhani mtendaji no technician au artisan
Mzee unajua kwa nini namchukia huyu kichwa kikubwa . Amenibrock na kunirudisha nyuma sana. Na anamadudu mengi sana.Bad news ni kwamba mtu afukuzwi kazi kwa chuki zako binafsi. Alie juu yuko juu. Pambana na ww ufike huko
Sent using Jamii Forums mobile app