Mkuu wakati unaendelea kucheki cheki huku na kule uwe unafuatilia ile ishu ya ujenzi wa SGR ya Mza to Isk usiache kabisa kufuatilia muda si mrefu wanatarajia kuanza mchakato na maandalizi..

Mkuu mimi ni civil engineer graduate mpk saa hv cna kazi kwa sasa nipo Arusha ila kama dar kuna mchongo wa uhakika fasta nakuja nimemaliza bachelor ya civil engineering mwaka juz arusha tech.