Natafuta kazi za ujenzi

Njoo Abraar Education Centre kibaha, tunahitaji mafundi ujenzi.

Kwetu hapa unaanza kwa kupata mwelekeo (orientation) wa wiki mbili kwa kua vifaa vyetu vya ujenzi ni aina ya kipekee sio kama vilivyozoeleka. Kam ni fundi ujenzi mzoefu utapata ujuzi mpya baada ya muda mchache sana(kutegemea na juhudi yako) unakua fundi kamili wa vifaa aina mpya vya ujenzi.

Pia tunachukua wanafunzi watakaopenda kujifundisha ujenzi kwa vitendo, wanaanzia kwa kujifunza kuunda vifaa vya ujenzi kwa siku mbili mpaka tatu kwa kila kifaa.

Ni mpango wa kipekee Tanzania hii, vijana changamkieni fursa.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa whatsapp 0625249605.

Abdul Ghafur

whatsapp 0625249605.
 
kwema wana jf
Nimekuja kwenu nahitaji kazi za ujenzi
Na uzoefu wa miaka 3 katika site za ujenzi miradi mikubwa na ya kati
Ujuzi wangu ni fundi chuma steel fixer
Fundi au engineer Yeyote mwenye site niko tayari kuwa msaidizi wake
Napatikana dar es salaam
Contact 0745000157
Njoo usome muongozo huku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom