"Engineer" huyu kiboko...,

kama si slaa? mtoto wake, hahaha........................................h
 
hivi sana na hao mafundi wakati wanweka jukwaa walikua wanafikiria nini?? LOL
 
Mh hapo kiboko siyo Engineer peke yake... manake mpaka kitu kiwe concrete lazima team nzima imetoka jasho hapo..
 
Kama hapa nje panapoonekana pako hivi, huko ndani ya nyumba sijui kukoje. kazi kweli kweli..
 
Mama weeeeeeeeeeeeee hapa hatuna mainjinia ni balaaaa elimu cheti sio akili ndio hiii vyeti vya uswazi
 
upuuzi .. hakuna mkono wa engineer hapo/hizi projects ndogo ndogo za mitaani huwa zinachukuliwa kwa maelewano ya bei poa na mafundi uashi wa mitaani ambao hata veta hawakujui
 
Ndo taabu ya kila mtu kujiita ''engineer'' huko mtaani na watu kupenda kuwapa kazi mafundi uchwara. Rahisi ni gharama siku zote.

Hii si kazi ya Engineer aliyepikwa na kuibuka kidedea FOE, japo hata kwa ''pass'' na Sept conference za kufa mtu
 
Nimepata opinion hizi kuhusu hii picha
Opinion 1
Opinion 2
 
Hivi mbona mnatufanya hatuna akili??? hizo ngazi zinaishia chini ya ngazi MAMBO GANI HAYO!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…