Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 5,885
- 13,263
Pamoja na kuwa mi ni shabiki lia lia wa Simba lakini huyu jamaa ameibadili Yanga na ana Vission, club ya Simba imezungukwa na genge la wapigaji kuanzia mdhamini mkuu.
Kila mkataba wa Yanga kuna uwazi tofauti na Simba ambayo mikataba na matumizi ya hela wanaojua ni genge la wachache.
Leo Yanga imeingia mkataba wa miezi 18 na kampuni inayotengeneza pikipiki ( Hero).
Mkataba unaruhusu matawi ya Yanga kupata posho na kufaidika.
Simba tuna vyanzo vya kuingiza hela ila matumizi hayajulikani,mkataba wa bidhaa za Mo kwenye jezi ni siri za wachache,Simba App hela inakoingia wanajua wao, matangazo ya kamari shabiki bingwa wanajua wenyewe,hata michango ya wanachama kwa ajili ya uwanja wanasema ni matumizi mengine hatujui ni ya familia za watu au wakati hayakutumika kwenye ujenzi wa uwanja.
Sent using Jamii Forums mobile app