Ndugu wana JF nina gari yangu aina ya mistubishi Pajero Montero ya Mwaka 2002nataka nibadilishe engine toka engine ya cc 2900 niweke ya cc 1900 je nifanyenye wataaalamu wangu
hiyo ya cc 2900 ni disel au petroli na unayotaka weka ni mafuta aina gani??
lengo la kufanya hvyo ni nini?
je ni kutaka bana mafuta kama ndio umechemsha hiyo injin ya cc 1900 ni ndogo sana kwa gari husika injin itakuwa ina run at higher rpm kumaintain spid flani
Mkuu, Mjep katengeneza na specs zake kafikia hapo halafu nawewe tena m'bongo unataka ufanye yako! Siku mbili Tatu pajero lichomeke au Li overheat ama lipinduke ama lianze kulia na kukimbia mwendo wa boda utarudi tena kuomba ushauri hapa.
Kwa heshima na taadhima nakushauri kama inshu ni wese na gari hujaagiza badili, na kama gari unamiliki tayari basi tafuta mteja au kama vipi liache parking
Usually engine ya diesel ya CC3000 ni almost sawa katika power ratings na engine a Petrol ya cc2000. So hamna shida. Cha muhimu iwapo engine haziingiliani fundi mtaalam ataweza kuchongea kitako cha kubeba mounting... Ila hiyo engine utayoweka ya Petrol, hakikisha iwe ni ya gari ya mizigo like Pick up ili iwe na Torque ya kutosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.