Kufaulisha Toyota Engine

Ngisibara

JF-Expert Member
Jan 2, 2009
3,304
2,080
Wataalamu naomba msaada wenu, ningependa kujua kama kuna uwezekano wa kiufundi ili niweze kutumia Toyota engine yenye CC ndogo kama 990cc, 1300CC au 1500CC kwenye Rav4 au kwenye gari aina nyingine kama vile Honda CVR , Mitsubishi Mini Pajero, Suzuki Escudo Etc..., Nia kuu ni kupunguza bajeti ya Petroli na lengo la pili ni "Savage" kwani nina rafiki yangu alinunua Honda Stream baada ya miezi 6 engine ikaloga mpaka wa leo imetaga nyumbani kwake, Msaada tafadhali?
 
Engine swap inaweza kufanyika japo jnatkaiwa ujipange haswaa katika kuswap engine gegemea patformance ya gari kupungua au kuwa mormal inategemea na fundi utakayekuwa umempata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa elimu, je kwa Dar nitapata wapi Garage/fundi mzoefu wa kufanya Swap kwani niliplan kununua used engine Ilala na kushughulikiwa
 
Back
Top Bottom