The Boss, ichukulie hivi!siku hizi ni full maigizo
utaita watu na kuandaa vinywaji halafu iwe surprise?
angekataa jee mbele ya watu?
mh, ngoja makungwi waje! nipo hapa pembeni mejificha tu. . .
Mpango mzima, ulitaka iwe kama senema?
Kwenye tamthilia kunakuwaga na director, producer, make-up artist, costume designer, location manager, technician, light manager, sound engineer, boom swinger, cast organiser, continuity superviser, floor manager, camera person na wengineo wa kumwaga.
Eh, nimewasahau hao wanaopropoziana wenyewe.
Hapa ni Tanganyika, na sio Hollywood, let us do it our fuc*ing way...
Bravo waliochumbiana huko kwenu!
ile inabidi iwe surprise....mi siamini eti kuita dj kualika watu na bibie nae anajua leo nachumbiwa hainogi, kuna wengine wanafanya surprise wakiwa wenyewe chumbani/hotelini au wengine wanafanya surprise mbele za watu, wazungu ndio washenzi anaweza kupropose barabarani au dukani mbele za wateja..:happy:
The Boss, ichukulie hivi!
Ni dada mmefahamiana muda wa kutosha anajua una lengo la kumuoa na wewe umeshaongea naye mara kwa mara na una uhakika kuwa uki-propose hatokataa then u can just pick a date and make it a surprise event..ama!??
kudos adui wangu wa baadaye..hahah!
mi nadhani hiyo ndo inapendeza bana..apa nawaza tu ni idea gani ya surprise ndo itapendeza coz almost zote zimeshafanywa!!!
ya kibongo ni ipi!??
Tatizo maigizo ni mengi mno böngo hii, ya kwako unaweza ukaifanya the way mtakavyoshauriana wewe na bi Catherine ,msirahau tu kunialika