engaged 2007 and still waiting for a beautiful wedding!!!!!

engaged 2007 and still waiting for a beautiful wedding!!!!!

Ngoja wasubiri subiri labda wakue kidogo....lol!!

Babu DC!!
 
nakumbuka mwaka huo huyo binti alinipigia simu kuwa anaparty ya engagement kwao......nilimjibu nipo nyumbani likizo and wished her all th ebest,,,nilishare picha after likzo...

huyu binti ana boyfriend wake toka miaka hiyo wanasoma chuo....na walimaliza 2007.Jamaa akapata kazi mkoani binti akabaki Dsm na anaishi na wazazi wake......

bado yupo na pete ya engagement and looking foward confidently for a wonderful wedding party ambayo kwa mwaka huu haina dalili........binti haonekani kuwa na wasiwasi saaana sijui ameridhika nini ila sometimes she complaints hwapo kwenye good terms na mchumba wake and sometimes its oke....wazee wameongea wamechoka,binti yuko anaaproach 30 this year....nilishindwa cha kumshauri huyu dada...engagement for hardly 7 years?guys!!!!!
hapo hamna kitu jombaaa....coz if u can get free milk why keep a cow????
 
Uyu dada namuonea huruma kama kweli bado anaamini kua jamaa atamuoa % kubwa imekula kwake itakua chanzo cha kuwachukia wanaume wakati mwenyekosa ni yeye
 
Mweeh! Si bora awe single kieleweke na kwa mda wote huo angeshapata mtu na ndoa juu
 
Dah pole yake mdada.... Kuna mwingine alitolewa mahari Dec 2011 na kuvishwa pete mpaka leo hakuna dalili ya ndoa....

My lawyer Ruttashobolwa kutolewa mahari sio issue....
 
Last edited by a moderator:
Achen wajipange bwana ndoa si lelemama.
Nyie mnaomkandia huyo dada wakat wanatafutana mlikuwepo.?
Nyie mliodumu kwenye uchumba 1year/2,3 na kufunga ndoa mbona yashawashinda?
Achen unafik.
Angelilalamika mdada mwenyewe hapo sawa,
mmeanza ln kusemea mioyo ya wanzenu?
Aaagrrr nina hasira!!

kwa hizi hasira,ninahisi utakuwa muhusika.
 
Nimejaribu kupitia comment za hio mada! Kila mtu anatoa sababu zake na kukosoa pia ukweli inabakia wapi je ukomo wa uchumba ni upi!?mwaka mmoja miezi sita au miwili! Na sio kila uchumba hufuatia ndoa! Kuoa ni process inayohitaji ushirikiano si wa pande moja kwanza waoanaji na familia zote mbili pili kipato!! Kuna wachumba wengine wanapendana sana wanafikia kuweka commitment ya uchumba ilhali bado masomo yanawasubilia, au target za muoaji hazijakaa sawa Lkn kutokana na msukumo wa penzi wahusika wanaona ni bora washikane kwa style hio!! My point Kama bado wanapendana ni vema kuwapa nafasi na sio kukatishana tamaa! Ndoa haina expire date!!
 
Mmmh kuna watu wana uvumilivu aisee sina muda huo mchafu.
 
Duuu
Ni mvumilivu aisee. 7years ya engagement.
 
Ndugu presentation ya mada yako ina mushkeli...imekaa kimbea mbea!!! You would rather have it as an example then have us discuss ni muda gani sahihi kuishi katika uchumba!

Mtazamo wangu:

-urafiki

Huu unaweza kuchukua muda wowote unaotaka. Huu ndio muda wa kufahamiana na kumjua mwenzio..mapenzi yake..dislikes. Marafiki zake...ndugu zake...it goes deeper with time!

Hapa ndo utasikia titles kama Girlfriend/Boyfriend..hii tu ni kuonesha uwepo wa another interested patry in ur life.

Mnapofika mahali mmekubaliana kuwa you two can live together, you jump to the next stage...

- uchumba


Usiwe zaidi ya mwaka mmoja kwa kweli.

Huu si wakati wa kumfahamu mpenzi wako. Ni wakati hasa wa kupanga mipango ya ndoa.

- ndoa
 
Back
Top Bottom