Wakuu,
Leo wakati mkuu wa nchi anakagua pale Ubungo interchange, ni dhahiri kabisa mkuu kuna kitu kimemuudhi, yule hisia zake hazifichiki, nadhani kuna kitu Mfugale amemkwaza Mh Rais.
Mimi binafsi sikupenda Mfugale alipokuwa anatoa maelezo kwa kutumia lile lifimbo lake la kutembelea kila mara analiinua juu, ule ni ukosefu wa nidhamu hasa unapoongea na mkuu wako, nadhani na yale majibu aliyomjibu Waziri Mkuu pia yamemkwaza Jiwe.