GE2025 Eng Hersi Said kuchangia CCM milion 100 ada zetu za uanachama ni kutudharau sisi wanayanga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Nimechukizwa na Kitendo cha Eng Hersi Said kutangaza kuchangia milion 100 CCM bila rushwa yetu Wanachama

Yanga ni timu ya Wanachama
Hiyo milion 100 ilipitishwa na mkutano Gani ikachangie kampeni za CCM

Eng Hersi Said umetugawa sisi Wanachama wa Yanga ambao sio Wanachama wa CCM,

Au unataka kutwambia kuwa Yanga ni timu ya CCM

Nakusihi Kwa upumbavu uliofanya Leo utoke hadharani tuombe radhi, sisi Wanachama

Eng Hersi Said kama upo Yanga ili kuingiza agenda za CCM utoke tu.
Sisi tuko tayari hata kukosa makombe na kufungiwa kabisa ila sio kutoa ada zetu za uanachama na kupeleka CCM
Screenshot_20250812-230748.png
 
Unamfanya nini mkuu?
 
Sisi Wanachama Huwa tunalipia ada kila mtu anawajibika Kwa nafasi yake
Sasa Ada yako ya uanachama unafikiri inatosha .?

Yanga Ina various source za kuingiza Pesa.

Ada ya uanachama haisaidii chochote hapo hao wadhamini wakijiondoa timu inarudi kusua sua.
 
Wadhamini hawako Yanga kutoa msaada, wapo kunufaika na chapati ya Yanga. Hapo ni wadhamini na Yanga wote wananufaika
Huwezi sema ati mashabiki na Wanachama si lolote
Yanga ina Wanachama zaidi ya milion 1 waliosajiliwa na kila mwanachama ana lipa ada ya 29000 piga hesabu Kwa mwaka ni bei gani?
Wanachama na mashabiki ndo hulipa viingilio na kununua jezi
 
Running cost za timu ni kubwa Sana mkuu .

Nyie mashabiki mna umuhimu Ila umuhimu wenu ni wa kuisapoti timu uwanjani na kuleta hamasa.

Wadhamini hao kipindi hawapo Yanga ilikuwa imepoteana Sana na kufika hatua ya kuyumba yumba.

Itafute yanga ambayo ilikuwa haina wadhamini ilikuaje?.
 
Nimechukizwa na Kitendo cha Eng Hersi Said kutangaza kuchangia milion 100 CCM bila rushwa yetu Wanachama

Yanga ni timu ya Wanachama
Hiyo milion 100 ilipitishwa na mkutano Gani ikachangie kampeni za CCM

Eng Hersi Said umetugawa sisi Wanachama wa Yanga ambao sio Wanachama wa CCM,

Au unataka kutwambia kuwa Yanga ni timu ya CCM

Nakusihi Kwa upumbavu uliofanya Leo utoke hadharani tuombe radhi, sisi Wanachama

Eng Hersi Said kama upo Yanga ili kuingiza agenda za CCM utoke tu.
Sisi tuko tayari hata kukosa makombe na kufungiwa kabisa ila sio kutoa ada zetu za uanachama na kupeleka CCMView attachment 3439498
Upumbavu mkubwa!.....watampa na ubunge
 
Hata mfanano wa rangi tu huuoni?
 
Running cost za timu ni kubwa Sana mkuu .

Nyie mashabiki mna umuhimu Ila umuhimu wenu ni wa kuisapoti timu uwanjani na kuleta hamasa.

Wadhamini hao kipindi hawapo Yanga ilikuwa imepoteana Sana na kufika hatua ya kuyumba yumba.

Itafute yanga ambayo ilikuwa haina wadhamini ilikuaje?.
Nimekwambia hakuna tajiri anatoka hisani Yanga
Hao wafadhili wananufaika na Yanga
 
Back
Top Bottom