hersi said

Jaale Mohammed Said Hersi Morgan, better known as General Morgan (Somali: Maxamed Siciid Xirsi Moorgan; Arabic: محمد سعيد حيرسي مورغان; 1 January 1949 – 28 May 2025), was a Somali politician and senior military official. He served as Minister of Public Works and Housing from 1989 to 1990 and was the last Minister of Defence under Siad Barre's regime. Additionally, he held various position including Chief Commander of the Somali Armed Forces. The general had a distinguished career with the Somali National Army. Most recently, he served as a security advisor for President of Puntland Said Abdullahi Deni, playing a significant role in the anti-ISIS campaign in Puntland. He was the son-in-law of Siad Barre and belonged to the Harti sub-clan of the Majeerteen, part of the larger Darod tribe. In his final years, General Morgan resided in Garoowe, serving as a security advisor to the Puntland administration.

View More On Wikipedia.org
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Murtaza Mangungu ni Kiongozi bora kuzidi Engineer Hersi Said

    Mara baada ya kupata wasaha wakumsikiliza mara kadhaa, nimejiridhisha kuwa ndugu zetu wa Simba wana kila sababu ya kuhakikisha anabaki madarakani ili kuimarisha timu yao. Sioni kiongozi wakumzidi pale Simba, huyu anaweza kuongoza hata taasisi kubwa na ya heshima kama Yanga au Ikulu. Hongereni...
  2. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania LEO saa 5:00 usiku, Raisi wa Yanga SC, Hersi Said atazungumza na Wanachama na Mashabiki wa Yanga

    LEO saa 5:00 usiku, Raisi wa Yanga SC, Hersi Said atazungumza na Wanachama na Mashabiki wa Yanga. Shughuli hii itakuwa mubashara kupitia AzamSports1HD kuanzia saa 5:00 usiku.
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC wenzangu naamini Uwanja wetu tulioahidiwa na Rais wetu mpendwa Injinia Hersi Said umeshaanza kujengwa na karibuni utazinduliwa

    Wana Yanga SC wenzangu naamini Uwanja wetu tulioahidiwa na Rais wetu mpendwa Injinia Hersi Said umeshaanza kujengwa na karibuni utazinduliwa? Pia soma Juni 6, 2022 Injinia Hersi Said aliahidi atajenga Uwanja wa Yanga ndani ya miaka minne ya Uongozi wake ONYO Kama unajijua kabisa huuwezi Utani...
  4. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Hersi Said ahitimu chuo Oxford alikokuwa akisomea uongozi bora. Liwe funzo kwetu kujiendeleza

    Nimefurahishwa na kaka yangu eng HERSI MUNGU akutangulie na akulinde na husda au wazee wa roho mbaya, wasiopenda mafanikio ya wengine. Nilicho jifunza unaeza kua na taaluma Yako tu lakini ukaongezea mambo mengine, kozi ni nyingi mno mitandaoni siku hizi, beba hata certificate ya uandishi na...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Juni 6, 2022 Injinia Hersi Said aliahidi atajenga Uwanja wa Yanga ndani ya miaka minne ya Uongozi wake

    Miaka minne iliyopita, Siku ya Jumatano, Juni 6, 2022 akiwa anahojiwa katika Kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM, Injinia Hersi Said baada ya kupitishwa kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Urais katika Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said alitoa ahadi ya kujenga uwanja wa klabu wenye siti 20,000...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hersi Said wa Yanga akutana na IShowSpeed uso kwa uso

    Moja ya jambo lililozua gumzo katika fainali za AFCON 2027 huko Morocco, ni pamoja na ziara za Streamer maarufu duniani anayeitwa IShowSpeed kuingia katika fainali hiyo na kukutana na mashabiki na viongozi mbalimbali. Mmoja ya watu waliokutana na IShowSpeed ni Rais wa Yanga Engineer Hersi Said...
  7. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Makala kamili: Hersi Said na mwisho wa enzi ya uongozi wa kujipamba Yanga Sc katika njia panda

    MAKALA KAMILI: HERSI SAID NA MWISHO WA ENZI YA UONGOZI WA KUJIPAMBA — YANGA SC KATIKA NJIA PANDA Utangulizi Kwa miaka michache, Yanga SC imekuwa mfano wa klabu yenye mabadiliko makubwa ya ndani na mafanikio ya kiuchumi. Rais wake, Hersi Ally Said, amekuwa amekuwa chachu ya kuibadilisha Yanga...
  8. PAYE

    JamiiForums Tanzania Karia, Eng. Hersi wapewa majukumu mapya ndani ya FIFA

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia na Rais wa Yanga, Hersi Said wameteuliwa katika kamati tofauti za Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA). Karia ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), ameteuliwa kuwa...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Eng Hersi Said, kufumba na kufumbua, nahitaji huyo coach tapeli Roman Folz aondoke

    Yanga sio sehemu ya wanafunzi kufanya field Folz sio coach Bali ni tapeli tu Binafsi simhukumu Kwa matokeo ya Leo huko Mbeya, Mimi kama mwanamichezo naelewa hayo ni matokeo ya kawaida katika ligi Huyu coach ni tapeli ana bahatisha Kwa foundation course yangu ya coaching hizi ndo mbinu...
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hersi Said amepotosha kuhusu mkataba wa Yanga na kampuni ya BlackBird AI

    Nimetoka kuangalia clip ya Rais wa Yanga Hersi Said akisema wameingia mkataba na kampuni ya Artificial Intelligence inayoitwa Blackbird AI. Kwa maelezo yake anasema mkataba huu ni kwa ajili ya kuiwezesha Yanga kupata analysis za wachezaji wakiwa mazoezini na katika mechi. Huu ni upotoshaji...
  11. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hersi Said, Kama unataka Ubunge usipate shida ongea na Gharib , tofauti na hapo utaendelea kuliwa laki tano zako za Fomu bure

    Yaani wewe Eng Hersi Said . boss wako atoe billion 10 kwa Ccm then wewe wakunyime ubunge ? Aliyepo nyuma ya maanguko yako ni huyo Boss wako Gharib anataka uendelee kukaa hapo unamtimizia malengo yake hagupo tayari kukuona unakuwa na empire yako Sahau kabisa kuwa Mbunge
  12. Knock life

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Eng Hersi Said ameenda kugombea Kongwa naanza kuona harufu fulani puani kwangu

    Kama huyu jamaa kaamua kwenda Kongwa basi naamini kuwa we are done . == Mwananchi wameeleza kuwa baadhi ya majina ya wanachama 24 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliochukua fomu kuwania uteuzi wa kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa kufuatia kifo cha aliyekuwa hayati Job Ndugai yameanza...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 ya Kumshauri Rais wa Yanga Injinia Hersi Said Baada ya Kuichangia Chama Dume, Dume la Mbegu, CCM

    1. Huna baya kwa kuichangia CCM kWa sababu hakuna anayejua wapi unapata mahela ya kuwapa furaha wanayanga 2. Zingatia sana maneno ya Manara kuwa Yanga ambayo wewe ni Rais wake wenye akili ni wawili tu 3. Tenda wema uende zako , wasiokuwa na akili hawana wema hata kidogo kama alivyosema Manara...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania GE2025 Eng Hersi Said kuchangia CCM milion 100 ada zetu za uanachama ni kutudharau sisi wanayanga

    Nimechukizwa na Kitendo cha Eng Hersi Said kutangaza kuchangia milion 100 CCM bila rushwa yetu Wanachama Yanga ni timu ya Wanachama Hiyo milion 100 ilipitishwa na mkutano Gani ikachangie kampeni za CCM Eng Hersi Said umetugawa sisi Wanachama wa Yanga ambao sio Wanachama wa CCM, Au unataka...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania GE2025 Eng Hersi Said aachwa ubunge Kigamboni Shafii Dauda apeta Temeke

    Kamati kuu umegoma kulipitisha jina la Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa vilabu vyote Africa Eng Hersi Said kugombea kupitia CCM Jimbo la Kigamboni, Shafii Dauda akipita huko Jimbo la Temeke Sasa rasmi Rais wa Yanga Eng Hersi Said atajikita zaidi kwenye football
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga Eng. Hersi: Kama kuna jambo silipendi ni kuifunga Simba

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said, amesema "Kama kuna jambo silipendi, ni kutoa furaha za watu. Najua kuna ndugu zangu ambao ni Simba na mimi ni Yanga. Bahati mbaya taasisi ambayo naishughulikia ni taasisi inayotaka matokeo, na kwa sababu ya ‘nature’ ya taasisi unalazimika kutafuta matokeo...
Back
Top Bottom