ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Kamati kuu umegoma kulipitisha jina la Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa vilabu vyote Africa Eng Hersi Said kugombea kupitia CCM Jimbo la Kigamboni,
Shafii Dauda akipita huko Jimbo la Temeke
Sasa rasmi Rais wa Yanga Eng Hersi Said atajikita zaidi kwenye football
Shafii Dauda akipita huko Jimbo la Temeke
Sasa rasmi Rais wa Yanga Eng Hersi Said atajikita zaidi kwenye football