Plot4Sale Eneo zuri sana airport Karakata lipo barabarani linauzwa bei chee changamkia nicheki nikupeleke

Mshemwaf

New Member
Aug 11, 2022
3
1
Eneo Lina nyumba mbili ya mbele ina fremu 5 na vyumba 6 vya wapangaji. Na nyumba ya nyuma ni yakuishi ina vyumba 2 sebure, dinning na valanda.
N.B Unaweza ivunja na kujenga shell, hotel, dispensary n.k, au vyovyote utakavyo Eneo ni kubwa Zaidi ya sq meters 430+.
Mahali: Airport Dar es salaam, kipawa, karakata segerea road.
Bei: Million 90 maongezi kidogo.
Documents zote zipo.

Mawasiliano 0718412277

IMG-20230717-WA0001.jpg
IMG-20230717-WA0006.jpg
 
Eneo Lina nyumba mbili ya mbele ina fremu 5 na vyumba 6 vya wapangaji. Na nyumba ya nyuma ni yakuishi ina vyumba 2 sebure, dinning na valanda.
N.B Unaweza ivunja na kujenga shell, hotel, dispensary n.k, au vyovyote utakavyo Eneo ni kubwa Zaidi ya sq meters 430+.
Mahali: Airport Dar es salaam, kipawa, karakata segerea road.
Bei: Million 90 maongezi kidogo.
Documents zote zipo.

Mawasiliano 0718412277

View attachment 2700607View attachment 2700608
Filling station hazijengwi tu kiholela kwenye makazi ya watu.

Square meter 430 uswahilini si rahisi kupata mteja labda itokee bahati tu, maana hapo unauza kiwanja siyo nyumba, Sasa jitathimini kuna mtu wa kununuwa kiwanja cha square meter 430 karakata kwa bei hiyo?
 
Back
Top Bottom