Eneo lenye ukubwa wa hekari moja linauzwa lipo kiseke b wilaya ya ilemela mwanza.

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Habari wana JF mwenye kuhitaji eneo maeneo ya kiseke B wilaya ya ilemela mwanza lina ukubwa wa hekari moja ni zuri na panafaa kwa makazi. Bei inaanzia milioni 20. kwa mwenye kuhitaji apige namba 0757849188 kwa maelezo zaidi na kama atahitaji kwenda kuliona sawa halina mgogoro wowote.
 
Back
Top Bottom