greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,764
- 3,226
Mtu akijenga nyumba mbele anaweka fremuHili la frame kila mahali sijui itakuwaje...
Imekua uchafu sasa....kila ukipita frem...😆😆Mtu akijenga nyumba mbele anaweka fremu
Mtu anajenga jumba la maana gharama kama 300m au zaidi nje anaweka fremu! Seriously?Mtu akijenga nyumba mbele anaweka fremu
Inaitwa "for future use"Mtu anajenga jumba la maana gharama kama 300m au zaidi nje anaweka fremu! Seriously?
Huo msemo wa "Acha kila mtu ale kwako,ndiyo unaharibu taifa"Acha watu wajilie
Hapo unazungumzia Lugalo na Gongo la MbotoUnashangaa shule siku hizi hadi wanajeshi wana njaa balaa wameweka fremu za maduka kuzunguka kambi zao
Kwanza inamega eneo la shule ambalo lingekuwa na matumizi...
🤣🤣🤣Wanafunzi sasa wasikose angalau chai asubuhi na mchana msosi kwa kuanzia
Siku hizi hadi nyumba za ibada hasa misikiti utakuta wamezunguushia frem za maduka.Sio sawa hizo frem kuwa hapo