Eneo la madini ya Copper Ore

fukunyungu

JF-Expert Member
May 16, 2011
717
194
Habari wana jukwaa, nina eneo lenye copper ore deposits kwa anae wajua wawekezaji wanao tafuta maeneo haya ani pm.
 
Aina gani ya coper?blue or red?je n asilimia ngapi?..kuchmba sidhan ilawapo wateja wakununua ikiwa tayari..
 
Ni copper ya blue mkuu, asilimia kumi na tano imeanzia, mazingira ya kununua yakoje mkuu?
 
kuweni macho wadau! kuna member mwenzetu humu tena ni mbunge alinunua eneo 1 billion tsh huko mpanda,then akaingia ubia na wawekezaji wageni ,walipooenda kupima tena eneo halina hata chembe ya copper akaanza kulialia
 
Huyo anayenunua eneo kw bil moja naye chzi..huwezi kununua nawakati hujaona uwingi na uzalishaji wenyewe...
 
Mwaka jana kuna waarabu walikuwa wananunua tani mil1.5.ila kwa sasa cjui..upande wa soko ondoa shaka
 
Back
Top Bottom