ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,691
Jengo la utumishi kwa mbali
Bayaaaa
Mkuu. Mbona jengo la utumishi liko good tu. Jengo baya pale ni la wizara ardhi na ya maendeleo ya jamii ambalo liko proximal to utumishi.
Jengo la utumishi kwa mbali
Bayaaaa
Mkuu. Mbona jengo la utumishi liko good tu. Jengo baya pale ni la wizara ardhi na ya maendeleo ya jamii ambalo liko proximal to utumishi.
Mie lile lililoandikwa "Utumishi" linanchefua roho yangu.
Yale mayoo ya blue....yaaakkkks
![]()
Nchi na jote lote hili watu wanajifungia kwenye majengo ya vioo yaso madirisha huku wakijua kuna uhaba wa umeme
Itabidi wataalam wetu wa ujenzi waanzishe ustaarabu wa kuchukua maoni ya wananchi kabla ya kujenga haya majengo kwa gharama kubwa halafu yanaishia kuchukuza machoni mwa wadau.
Itabidi manake that thing is really ugly
Nchi nyengine hususan zilizoendelea, hutolewa tenda, ikisha kati ya tatu au nne zinazopitishwa (baada ya kukidhi viwango vyengine mbali ya muonekano), huwekwa wazi kwa wadau na kuchagua
Kwa mtzamao wangu, majengo yenye muonekano wa old Dar es Salaam yangeendana bora na mazingira ya hapo
Haya tunayojengewa sasa huko kwenye nchi zilizoendelea hayawezi kupita hata awamu ya kwanza ya uchaguzi
Ndio maana nchi za Ulaya maeneo ya kama hayo yanaweka chini ya wizara ya utalii au utamaduni kwa lengo la kutunza sura halisi ya jiji kihistoria. Kadri siku zinavyosonga mbele watalii wanakuwa hawana sababu ya kutembelea Dar es Salaam. Bagamoyo isipokuwa makini nayo itaelekea hukohuko...
Mbali ya hao watalii, ninadhani tunatakiwa kuweka historia kwa ajili yetu wenyewe na vizazi vyetu
Sasa hivi tunavunja majengo ya kizamani bila ya kufikiri mara mbili wakati kuna technolojia ya kutosha kwenye ujenzi kuweza ku-maintain jengo la zamani chini na juu yake kupandishia jengine
Na hata ukitaka unaweza kulihamisha jengo zima vile vile lilivyo kama walivyofanya hawa
Hawa jamaa wakali. Wamemove kitu from point A to pint B!
Ila jengo la Kariakoo ukilimove linaweza kuleta balaa aisee...
Of course hatusemi kuwa kila jengo libakishwe
Lazima kuangalia cultural and heritage significance yake kwanza kwa sababu kujenga jengo jipya juu ya kongwe ni gharama zaidi kuliko kuanza kuanzia jengo jipya moja kwa moja
Lakini kwa wanaojenga prime areas, gharama ambazo wangeliingia wangerudisha kwenye biashara zao
Hali inavyokwenda, baada ya miaka 20 ya ujenzi wa ubia wa NHC, kule "Uhindini" hakutakuwa na hata na dalili ya "Uhindi" tena kimuonekano wa majengo
Sasa inabidi wadau mnaolifahamu hilo mlishikie bango kwa nguvu nyingi. Madiwani wengi, ambao ndio wanaoamua future ya majengo, hawalijui hilo.
Hebu nieleze kuhusu madiwani kuamua future ya majengo
Kigamboni soon itabadilishwa jina, ngoja mmiliki wake aanze ujenzi
Baraza la halmashauri likisema hapa haturuhusu mejengo ya namna fulani basi itakuwa hivyo.
Umejuaje kuwa mtoa hoja ni Bavicha?Akili za bavicha huu ndio mwisho wake...
Sasa inabidi wadau mnaolifahamu hilo mlishikie bango kwa nguvu nyingi. Madiwani wengi, ambao ndio wanaoamua future ya majengo, hawalijui hilo.
Hili lazima liwe Lirundi tuu!
Nimesikia kwamba kapigwa chini hili eneo litaendelea kuendelezwa na wazawa
nITAJUAJEKwani nipo Ulaya?
Vijana wa bavicha mna matatizo sana.
Ungewekewa picha za watu wanapigana ndio ungefurahi!!!