Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,987
achana nao mkuu,wameshazoe kuonyesha mabango na kuandamana haoAkili za bavicha hizi...
achana nao mkuu,wameshazoe kuonyesha mabango na kuandamana haoAkili za bavicha hizi...
And you must be Serukamba! Unatupia picha bila maelezo yoyote kisa ulililipiwa tiketi ya ndege na mfadhili wako, ukiulizwa kama kuna mtu alikuambia hayajui maeneo hayo, unasema F@$#* YOU! Una tofauti gani na Serukamba wewe?