Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,890
Sheria za kimataifa zinasema umbali wa maili 200(320km) kutoka ufukweni mwako ni eneo lako la bahari.
Sasa kwa Tanganyika ambayo ukitoka tu kidogo unakuta visiwa vya Zanzibar eneo lake la bahari limekaaje?
Maana nasikia mafuta na gesi siyo ishu ya muungano, je tukitaka kutafiti baharini eneo letu ni lipi?
Pia kwenye mpaka wetu na Kenya na Msumbiji eneo likoje? Linaendeleza mstari wa mpaka au ni horizontal line kwenda baharini?
Wakenya na wasomali wako mahakamani kuhusu hii ishu.