Kiwanja umeshapata mkuu?Mimi pia nahitaji kiwanja ila kiwe na ukubwa wa square mita kuanzia 800 hadi 1200, maeneo ni either Kibamba shule, Kibamba Chama, au Gogoni na bajeti yangu inaanzia Millioni 5 mwisho 10 mill.
Natanguliza shukrani wakuu.

sqm 269 hata sehemu ya kuanikia nguo hupatiNina kiwanja 13x13m kipo MBEZI LUGURUNI-DSM bei yake 5m fixed. Karibu DM
169 to be precise..sqm 269 hata sehemu ya kuanikia nguo hupati