GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,876
- 109,581
Yaani Mtu anapangwa Kimkakati ili kuwatoeni katika Reli na msiwazie ya Msingi kwa Taifa nyie mnadhani Dk. Bashiru Ali ( MB ) na Rais ( Mwenyekiti CCM Taifa ) Samia wana Bifu zito na kwamba CCM hakuko Imara.
Na ili kuonyesha Mkakati umepangwa vyema na Spin Doctors wa uhakika walioko hasa Idarani Kwenu ( SSIT ) na wale waliokuwa penetrated Chamani ( CCM ) sasa hata UVCCM nao wametakiwa Kuingilia kwa Kujifanya kama vile Wanamsema, Wanamtisha na Wanamchafua Dk. Bashiru ili Kutengeneza Mijadala kila Kona kusudi mpumzike kujadili Ukame, Mgawo wa Maji na Umeme, Hali Mbaya ya Maisha kwa sasa nchini Tanzania na ule Usamjo Usamjo ( Utapeli Utapeli ) alioufanya Majaliwa Jackson Ziwa Victoria Bukoba ilikoangukia Ndege ya Precision Air na Maisha yaendelee.
Ni Mwendawazimu ( Bipolar ) na Juha ( Moron ) pekee ndiyo ataamini kuwa kwa Tanzania hii ya sasa Dk. Bashiru Ali ( MB ) tena wa Kuteuliwa na Rais ( Mwenyekiti CCM Taifa ) Samia Suluhu Hassan huku akiwa ameshawahi hata kuwa CCM Secretary General na Diplomat ana Ubavu ( Jeuri ) ya Kupingana na Rais au hata tu Kumkosoa huku akijua vyema kuwa hata Kiapo cha Chama na Viapo vyake vya Nafasi zingine alizoshika Serikalini havimtaki Yeye kufanya hivyo labda tu awe ameshachoka na Maisha na anatamani sasa kwenda Kupumzika kwa Kulala Usingizi wake wa Milele kama wa mwana CCM aliyethubutu Kizembe Horace Kolimba.
Mkiitwa 'Mibwege Clan' mnaninunia!!