Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,728
- 4,075
Msidanganyika na hoja za udini
Waziri mkuu ni mkristo bilashaka hapo yupo katika kanisa la RC au KKKT kama sijakosea. Na makamu wa rais ni Mkatoliki. Na mkuu wa majeshi na mkuu wa polisi ni Wakristo.
Sasa muelewe kuwa ccm haina udini bali mikakati ya chama. Udini ni cheap politics kwa wajinga wasiojielewa.
Wakati ninyi mkiwa bize na propoganda za kidini, wanasiasa wao wapo bize kujiimarisha wao na vizazi vyao kuendelea kutawala. Kelele zenu za udini ni kinga kwao.
Hoja za utaifa ziamuliwe kitaifa na sio kwa matashi ya kidini. Takwa langu ni hili:
Ifike wakati rais asipatikane kwa mbadilishano wa jadi ya dini, bali kwa vigezo. Mtu yoyote hata asiyekuwa mkristo au muislamu aongoze. Hizi dini mbili zina kiburi sana. Tena ikiwezekana Quran na Biblia ziondolewe kwenye kiapo, watumie katiba. Maana pia zinadhalilishwa humo, wanaapa kwazo na hawanyi uadilifu kulingana na vitabu hivyo