endelea kuwapepeta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Endelea kuwapepeta tayari wametepeta. Kimewaramba hahaa

    Nininini! Hao vinyang'unya! Weeh! Wametepeta tepetepeee! Hahahaa! Walidhani wanagonga mlango wa makuti, kumbe walishindilia chuma kilichojaa ndindindii! Si mchezo bwana! Tumeshasema: Boss ni mmoja tu, wala si wa kupokezana vijikaratasi! Wale wa ndumilakuwili waache kupuliza baridi na moto...
Back
Top Bottom